Pamoja na ushindi mzito wa CCM: Sisi kama Watanzania tunapaswa kutafakari kwa kina juu ya hili

Duuu kazi ipo!
Yes kazi ipo! Hasa unapofanaisha issue ya Malalamiko ya upinzani na VAR. VAR limekuja kuwa suluhisho la matatizo yaliyokuwa yanasumbua mfumo mzima wa football, wote walikuwa wanaathirika. Sasa ulitaka asususie na aache nani wakati wote wanakubaliana kuna tatizo, ndiyo maana waliendelea kushiriki huku wakitafuta suluhu.
Sasa unanafanisha na hawa ambao wao ndio kila mwaka wanalalamika kuwa Kuna tatiza n na Kuna anayenufaika pekee yake na tatizo hilo halafu wanaendelea kushiriki. Na kila baaada ya kushiriki wanalalamika tena, we huoni Kama hivi ni vitu viwili tofauti.
Unachekesha sana aloo!
 
Hujanikimbiza budha, I just ignored you!
Budha ndio Nini wewe msomi? Usipanic, relax! Huna unayemuignore Bali wanajf wamekuignore wewe na bandiko lako ndio maana watu wamechochora na wewe ukaunga na kumsahau kuwa una bandiko la kumtetea! Haya ndiyo madhara ya elimu ya kukariri yameanza kukunyonyoa! Kimbilia fb!
 
Unajua fanyeni hivi azisheni chama kiiteni MCC .kisha CCM wajigawe nusu waende huko MCC . Ili nacho kiwe taasisi imara ya kusifia na kupongeza.
Suala la kuwa na upizani chama dola hakijawa tayari TUSIBABAISHANE HAPA.
WE BECOME
""EAST AFRICA NORTH KOREA""
 
Ha ha ha ha, umeninignore wakati wakati umeweka kambi hapa. Nilishawahi kukomenti kwenye uzi wako au komenti yako hata mara moja. If not kwanini upo hapa!
 
Ukisoma vizuri btn lines unaweza kugundua hujaelewa vizuri. Ni kwa sababu hampendi kuelewa, mnahemuka mno! Utafikiri mpo angani!
 
Inawezekana sijaelewa kweli.
Sio kweli kuwa ukiwa mpizani unakuwa km adui ?
Mwenyekiti wa Chama ambaye ndie rais amiri jeshi mkuu anachagua
Tume ya uchaguzi NEC
MSAJILI wa Vyama

Mkuu nchi haijasetiwa kwa
"peacefull tranfer of power "baina ya vyama
Only democratic nations with strong state institutions can have peacefull transfer of power btn political parts

Km hatutajitambua SASA Tukarekebisha katiba yetu tunatengeneza time bomu
 
Hapa Sasa tunaanza kukubaliana, angalau una hoja, hata Mimi Hilo nimelizungumza, huo ni upande mmoja. Je upande wa pili tukiacha CCM tunacho Chama kingine ambacho kimejipambanua Kama Taasisi na kina watu Weledi wabaoweza kuamniniwa kuchukua Dora. Kwahiyo wakati tuna mifumo ambayo bado haitoi nafasi nzuri ya Demokrasia kutamalaki, lakini pia tunakosa vyama Madhubuti Kama sehemu mhimu pia ya Demokrasia.
Mwaka 2015 CDM ambacho ndicho Chama kinachoendeshwa angalau kwa mbali, walilazimika kumtumia Lowassa Kama Mgombea akiwa na siku moja amaejiunga na Chama hicho, Act mwaka huu wametumia Wagombea wawili mmoja aliyefukuzwa CCM na aliyehama kutoka CUF. Wewe hili linakupa picha ipi!? Kwamva tuna vyama dhaifu na vilivyotawaliwa na mwelekeo
 
Ndani ya miaka hiyo 20 Tanzania tunayo bahati ya kuwa na moja ya vyama bora vya Siasa duniani, CHAMA CHA MAPINDUZI na kupitia Chama hiki tumeendelea kuwa Taifa Madhubuti sana.
Mkuu, either huelewi kitu au ww ni mnafiki.. Bila kubebwa na polisi, NEC, wakurugenzi, TiSS, nk, ccm haiwezi kupata hata 20%, ilishachokwa sanaa. Kwa sasa inatawala kimabavu, bila ridhaa ya wananchi walio wengi
 

Nilikuover rate kwenye post yako namba moja, ila ulivyojibu kwa panick nilianza kupata shaka, lakini baada ya michango yako kuongezeka, ile shaka yangu imeondoka kabisa na nimeujua uwezo wako pasi na shaka. Nashukuru kwa michango.
 
Mkuu, either huelewi kitu au ww ni mnafiki.. Bila kubebwa na polisi, NEC, wakurugenzi, TiSS, nk, ccm haiwezi kupata hata 20%, ilishachokwa sanaa. Kwa sasa inatawala kimabavu, bila ridhaa ya wananchi walio wengi
Sikushangai ndio kwanza unaanza kuijua Siasa. Ni wale mnaoamini siasa ni kupiga Domo na ufuasi. Na mentality hizi ndizo zitafanya CCM kuendelea kuwepo hapo. Ukitoka kuifunga Bacelona lazima utengeneze timu inayofanana au inayokaribia Bacelona. Siku mtakapoanza kwanza kubali kuwa CCM siyo Chama Cha Kawaida mtakuwa mnakaribia kupata mwarobaini!
 
Magufuli na CCM waliopata kura 12.5M Kati ya 29 au nyie vyama 15 ambao mmeshindwa kufikisha hata kura milioni 3 kwa pamoja!?
Saivi hakuna wajinga. HAKUNA asiyejua kuwa ccm mwaka huu imefanya kufuru katika wizi wa kura.. So, hizo takwimu unazotoa hazina maana yoyote
 
Nilikuover rate kwenye post yako namba moja, ila ulivyojibu kwa panick nilianza kupata shaka, lakini baada ya michango yako kuongezeka, ile shaka yangu imeondoka kabisa na nimeujua uwezo wako pasi na shaka. Nashukuru kwa michango.
Ha ha ha ha , ha ha ha hapo ndipo mwisho wa ulichobarikiwa kalale tu bro. Teh teh teh teh, at VAR ndio mfano wako. Karudie kusoma hoja ulipokuwa unajibu halafu uone ni kwa kiasi gani umepuyanga!
 
Hakukuwa na Uchaguzi. Ni wizi. Jeshi lipo wapi lichukue nchi?
 
Hilo linawezekanaje hapa wakati wapinzani wanaonekana maadui?Kuna mtu mmoja kuelekea uchaguzi alibananishwa na polisi kwa kukusanyika,nadhani alikuwa ni mgombea udiwani kupitia CCM!Akajitete "mimi sio mpinzani hivyo msininyanyase!".
Hii ni wazi nchi hii wanaopaswa kunyanyaswa ni wapinzani!Katika mazingira kama haya,watu wanaweza kuunga mkono upinzani lakini kwa kujificha na ili ujenge taasis imara ni lazima uwe na watu!Leo hii hakuna mtumishi wa umma anaweza kujiweka hadharani kama mwanachama wa upinzani,lakini ni rahisi kwa mtumishi ambaye ni kada wa CCM kujiweka hadharani!
Niseme tu,katiba ya Tanzania ndio chanzo cha tatizo!Katiba hii imelazimishiwa kubeba mzigo wa vyama vingi wakati msingi wake ni wa chama kimoja!
Mfumo wa vyama vingi tunafanya tu ili kuiridhisha dunia kwamba tuna demokrasia ya vyama vingi!
 
Saivi hakuna wajinga. HAKUNA asiyejua kuwa ccm mwaka huu imefanya kufuru katika wizi wa kura.. So, hizo takwimu unazotoa hazina maana yoyote
Ha ha ha ha , kusema tu umeibiwa si kazi Budha, hata Trump huko mnakosema Kuna Demokrasia ya hali ya juu analalamimia wizi na udanganyifu, watu wamemwambia aweke vielelezo na si bla bla, wekeni vielelezo acheni maneno. Kwani mtu kusema nimeibiwa ni kazi. Halafu Kuna Uchaguzi hamjawahi kuibiwa nyie, since 1995 mnaibiwa lakini hakuna Uchaguzi mmeacha kushiriki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…