Pamoja na ushindi mzito wa CCM: Sisi kama Watanzania tunapaswa kutafakari kwa kina juu ya hili

Jamaa kajaa ushabiki kuliko kuelewa hoja yako watu wa Aina hii ndio wanapunguza ubora wa jamiiforum
Kabisa mkuu, akishasoma mistari miwili akishasoma umeandika kinyume na matarajio yake basi atatukana au kukejeli na ukiona wamefanya hivo basi jua Uzi umemzidi kimo.
 
Mzee una point SEMA humu watumia hisia kujibu hoja zako badala ya fact
 
Kwa mtazamo wangu vyama vipo. Tatizo/changamoto wanazopitia za kuhama Viongozi wao. Endapo vyama vyote vingeanzishwa ile julai 1992 likiwa na rasilimali sawa ie 0, hadi sasa vingekuwa sawa. Sasa huwezi linganisha wenye fursa na aliyenyimwa.lazima wawe tofauti
 
Maana ya uongozi ni nini,!? Unaposema una akili kubwa hiyo akili kubwa tunaipimaje!? Kama miaka 25 watu wanaendelea kupiga mchaka mchaka pale pale na ni wale hapa Kuna viongozi. Uongozi na akili hupimwa kwa namna viongozi hao wanavyopata mafanikio katika mazingira Kama hayo.
 
Usisahau ccm pia wametumia wahamiaji wa siku moja toka upinzani kuchukua nafasi mbalimbali za uteuzi, na ugombeaji ubunge, udiwani, nk
 
Ni ushenzi kufikiri vyama vinashindwa chaguzi kutokana na udhaifu wa vyama bila kuhesabia hila za ccm kila uchaguzi.
 
Ukiachilia mbali utumbo ulioandika, je mfumo wa vyama vingi umeanza mwaka 2000?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…