Pamoja na usomi wangu siachi matambiko na mila ng'oo

Wewe unapokesha kumsifia mungu wa waisraeli usije kudhani eti baraka zinakujua kwako hapana zinaenda kwa waisrael na vilevile unavyo msalia mtume na allah baraka zote zinaenda kwa waarabu ndo mana mtu mweusi ni maskini wa mali akili na fikra.
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Kweli
 
Ila usiende na watoto wako waache wafike umri wa kujitambua ndio uwaambie matambiko waaingie wenyewe.

Kifupi weww ni mpumbafu unaejidai kujua kafie mbele wewe kama wewe watoto waache hujui kuhusu hayo mambo uko mjinga na gizani sana.
 
Duuh aiseee, Acha kila mtu ashike njia yake anayoona ni sahihi
 
Hakuna Mkristo wala muislamu anaeabudu Sanamu.
Kuabudu ni imani we kama unaabudu mizimu ( shetani) ni imani yako
 
Ujinga ni kuacha mizimu yako ikuombee na kwenda kusema sijui Mtakatifu nani sijui akuombee.

Turudi tukaombe baraka kwenye mizimu yetu.

Watakatifu mizimu yetu mtuombee
Mizimu ni shetani kuvaa sura au uhusika wa wazee wa ukoo.
Roho ikifa haibaki duniani either kuzimu au peponi ikisubiria siku za hukumu.
Ibada ni sehemu mbili either kwa Mungu au Shetani.
 
Wanaorudi desember kutambika wanaenda kumuabudia shetani.
Roho ya mtu akifa haikaii duniani.
 
Mnaokwenda kutambika ujumbe huu unawahusu.Huyu ni mbobezi kwenye mambo ya kiroho ktk Elimu ya ulimwengu usioonekana.
 
Ibada za mizimu ni kufunga ndoa na shetani kumbuka shetani hana huruma na mwanadamu,maana Kazi ya shetani ni kuharibu na kuuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…