Pamoja na vivutio vya utalii, Rungwe hakuna hoteli ya maana

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Rungwe kuna:-

1. Hifadhi ya Misitu safu za Mlima Rungwe.
2. Safu za Milima ya Kipengele 'Livingstone Mountains'
3. Crater Lake Ngosi
4. Daraja la Mungu 'Lupoto'
5. Maporomoko ya maji na ya kipekee Kapologwe (Kisondela)
6. Ziwa Kisiba
7. Maporomoko ya maji Malasusa Kapiki (Nkunga)
8. Maji Moto Ilwalilo
9. Maporomoko ya Isabula, Ngomano
10. Mti Katembo
11. Hifadhi ya Kitulo (huyu jirani yenu)
12. Majengo ya Kale, Kambi za Wajerumani
13. Fukwe nzuri za Matema
Nakadhalika

Kinachosikitisha pamoja na vivutio hivi vya utalii Rungwe haina hoteli ya maana kuweza kuhifadhi watalii wenye hadhi aghlabu kutoka nchi za ng'ambo. Hoteli zilizopo ni za elfu 20 20 za akina samolo n.k.

Hoteli pekee 'ya hadhi' ni the dilapidated L*ndmark ambayo kwa sasa huwezi muweka mtalii decent pale.

MY TAKE: Ndugu zangu na majirani zangu Wanyakyusa najua mpo wenye ukwasi wa kutosha hebu mmoja wenu ajitose hapa Tukuyu Mjini aporomoshe Hoteli ya Hadhi ndipo utalii utangazwe. Hii wilaya pamoja na Busokelo zina potential ya utalii ila hakuna malazi.
 
Hivyo vivutioa vitakuwa havina maana, wawekezaji tupo macho, tungeona..
 
Mtoa mada kwani wewe umekatazwa kujenga hotel ya maana, au unasubiri wanaume wenzako wajenge?

Kweli kumtusi mtu matusi makubwa kumerahisishwa sana, umemtusi Jamaa kwa lugha nyepesi kabisa
 
Landmark imekuwaje tena kipindi cha nyuma wazungu walikuwa wanajaa hapo.

Hata hivyo Rungwe Guest House&Lodge chache sana. Mwanitu,Mwananchi,Kamangila hizi Guest za kitambo tangu wazee wa miaka ya 80
Kuna mshkaji kajenga Katumba pale inaitwa Samolo ni ya kishkaji zile zetu za one night stand
 
Landmark imekuwaje tena kipindi cha nyuma wazungu walikuwa wanajaa hapo.

Hata hivyo Rungwe Guest House&Lodge chache sana. Mwanitu,Mwananchi,Kamangila hizi Guest za kitambo tangu wazee wa miaka ya 80
Imechoka kwa kweli, mwekezaji aikarabati. Ilikuwa tegemeo kwa sasa imechoka.
 
Hivyo vivutioa vitakuwa havina maana, wawekezaji tupo macho, tungeona..
Vina maana kwa kweli. Fikiria Hifadhi ya Kitulo kuna namna unaweza kusema haina maana!? Na ipo jirani na Rungwe.
 
Back
Top Bottom