Pamoja na vivutio vya utalii, Rungwe hakuna hoteli ya maana

Rungwe kuna:-

1. Hifadhi ya Misitu safu za Mlima Rungwe.
2. Safu za Milima ya Kipengele 'Livingstone Mountains'
3. Crater Lake Ngosi
4. Daraja la Mungu 'Lupoto'
5. Maporomoko ya maji na ya kipekee Kapologwe (Kisondela)
6. Ziwa Kisiba
7. Maporomoko ya maji Malasusa Kapiki (Nkunga)
8. Maji Moto Ilwalilo
9. Maporomoko ya Isabula, Ngomano
10. Mti Katembo
11. Hifadhi ya Kitulo (huyu jirani yenu)
12. Majengo ya Kale, Kambi za Wajerumani
13. Fukwe nzuri za Matema
Nakadhalika

Kinachosikitisha pamoja na vivutio hivi vya utalii Rungwe haina hoteli ya maana kuweza kuhifadhi watalii wenye hadhi aghlabu kutoka nchi za ng'ambo. Hoteli zilizopo ni za elfu 20 20 za akina samolo n.k.

Hoteli pekee 'ya hadhi' ni the dilapidated L*ndmark ambayo kwa sasa huwezi muweka mtalii decent pale.

MY TAKE: Ndugu zangu na majirani zangu Wanyakyusa najua mpo wenye ukwasi wa kutosha hebu mmoja wenu ajitose hapa Tukuyu Mjini aporomoshe Hoteli ya Hadhi ndipo utalii utangazwe. Hii wilaya pamoja na Busokelo zina potential ya utalii ila hakuna malazi.
Hilo ni kweli kabisa.
 
Hiyo picha kwenye utambulisho wako inakuvua nguo....ibadilishe[emoji1]
 
Pole mkuu

Wakati mwingine ni kutojua tu.kuna waday wamewekeza tena kwa kulipa kwa dola. Jaribu hapa AVO HOUSE. Ipo Busokelo. Insta page.
Ukichek tu kwa picha nadhan utanielewa
 
Asante sana mkuu, Mashamba yangu yapo nditu, nikienda hapa patanifaa
 
Back
Top Bottom