Pamoja na yaliyo tokea lakini Simba atafuzu robo fainali kwa kuongoza kundi

Co rahisi kihivyo Bwashee
 
Robo ni hatua kama ilivyo kuingia makundi..,..
 
Game zinafuata 19/12/2023
SIMBA vs WYDAD
ASEC vs JEANENG

Then game zinazofuatia ni
JWANENG vs WYDAD
ASEC vs SIMBA

Game za mwisho
WYDAD vs ASEC
SIMBA vs JWANENG


Kwa upande wa Kundi la Yanga

CR BELOUIZDA vs AL AHLY
YANGA vs MEDEAMA

Then

YANGA vs CR BELOUIZDAD
MEDEAMA vs AL AHLY

Game za mwisho
AL AHLY vs YANGA
CR BELOUIZDAD vs MEDEAMA


Kwa mtiririko huu Yanga wana nafasi kubwa.
 
Ukweli ni kwamba mechi inayokuja Kwa mkapa Simba akijitaidi sana kapata sare, simba hawezi mfunga wydad japo kweli ni wabovu, simba hakuna mfungaji, katika mechi tatu wana goli moja tena la penati.
 
Asante kwa kuliweka sawa mkuu ila Yanga haendi popote
 
Ukweli ni kwamba mechi inayokuja Kwa mkapa Simba akijitaidi sana kapata sare, simba hawezi mfunga wydad japo kweli ni wabovu, simba hakuna mfungaji, katika mechi tatu wana goli moja tena la penati.
Mpira ni wakati uliopo sio historia
 
Nyinyi pigeni tu hesabu zenu za kwenye makaratasi. Ila hatutaki tu kuzisikia tena zile kelele zenu za kuwakataa wachezaji, kocha na viongozi wa timu.
 
Yaani hawa watu wanachosha
Kuna mmoja alisema eti Asec kapata ngekewa kuongoza kundi
Nikamuuliza Kati ya Asec na Simba ambae hajashinda mechi yoyote ya CAFCC mpaka sasa Nani ana ngekewa?
Wanapiga hesabu utafikiri wanacheza pekee yao
Subscribe uzi.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…