Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haHatishi wakati amemfunga wydad kwao,wewe unaetisha wydad umemfunga ngapi?
Na yanga itakua mwaka nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Robo siyo stori tena kwa Simba..!! Yaani mkiishia robo, hilo ndo mliwezalo..!! Maana mmeshapiga robo nne mpaka sasa..!! Na ndani yake kuna robo ile ya uchawi, a.k.a tambiko hatarishi kule bondeni kwa Madiba. Na msipoangalia, mwakarobo itakuwa Mwakakundi mwaka huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vichekesho kwa kweli.Game zinafuata 19/12/2023
SIMBA vs WYDAD
ASEC vs JEANENG
Then game zinazofuatia ni
JWANENG vs WYDAD
ASEC vs SIMBA
Game za mwisho
WYDAD vs ASEC
SIMBA vs JWANENG
Kwa upande wa Kundi la Yanga
CR BELOUIZDA vs AL AHLY
YANGA vs MEDEAMA
Then
YANGA vs CR BELOUIZDAD
MEDEAMA vs AL AHLY
Game za mwisho
AL AHLY vs YANGA
CR BELOUIZDAD vs MEDEAMA
Kwa mtiririko huu Yanga wana nafasi kubwa.
Hivi kumbe mambo ya alinacha bado yapo..!!Uwezo wa kumfunga Asec nyumbani kwake simba anao na ukitazamia atakuwa tayari ameshafuzu hivyo hana cha kupoteza. Hivyo simba atachukua point 3 kwa Asec na kufikisha point 11, hivyo Simba atamaliza kwa kuongoza kundi akiwa na point 11, Asec nafasi ya pili na point 10, Wydad nafasi ya tatu na point 9, Jwaneng Galaxy nafasi ya mwisho na point 4.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwakafainali..!!Na yanga itakua mwaka nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado unabisha ?Akili za kipuuzi hiyo possibility unayowapa thimba as anayechezesha mechi ni mangungu au mohamedi....!!, Vipi Kama wyhdad wakmunga Simba ?, Au vipi Kama Asec akafungwa na Galaxy? Kwamba Simba yeye anauhakika wwkuchukua point tu kwa wapinzani?.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwakafainali..!!
Akikujibu nitag [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado unabisha ?
Mbona nilisikia mechi ya mwisho simba anamaliza home?Habari wakuu
Wengi wenu mtakumbuka msimu uliopita nilifanya utabiri wa namna kundi la simba litakavyoisha baada ya kupoteza michezo miwili mfululizo na ndivyo ilivyokuwa mwishoni, utabiri ulienda exactly kama ilivyo tarajiwa.
Hivyo nataka nifanye utabiri wa kundi la simba tena kwa msimu huu. Mpaka sasa Simba ana point 2, Wydad 3, Jwaneng 4, Asec 7. Asec achana nao kwakuwa wao tayari wamejipata.
Mechi ijayo simba atarudiana na Wydad hapa dar es salaam kwa vyovyote simba ahakikishe anamfunga wydad achukue point 3 ukijumlisha na zile mbili alizonazo zitakuwa 5, Asec atamfunga tena Jwaneng hivyo atafikisha point 10 huku Wydad atabaki na point zake 3.
Matchday 5 simba atacheza na Jwaneng Galaxy kwa mkapa na atachukua alama 3 hivyo atafikisha point 8, wakati huo huo Wydad atamfunga Asec na kufikisha point 6( sio guarantee anaweza kushangazwa vilevile na Asec ambapo itakuwa bora zaidi kwa simba).
Mechi ya mwisho Wydad atamfunga Jwaneng Galaxy na kufikisha point 9 huku akisubiria matokeo ya marudiano ya mechi ya Sinba dhidi ya Asec Mimosas ambao kwa point zao 10 tayari watakuwa wameshafuzu hivyo mechi kuwa rahisi kwa simba.
Uwezo wa kumfunga Asec nyumbani kwake simba anao na ukitazamia atakuwa tayari ameshafuzu hivyo hana cha kupoteza. Hivyo simba atachukua point 3 kwa Asec na kufikisha point 11, hivyo Simba atamaliza kwa kuongoza kundi akiwa na point 11, Asec nafasi ya pili na point 10, Wydad nafasi ya tatu na point 9, Jwaneng Galaxy nafasi ya mwisho na point 4.
Kwa wale ndugu zetu kwenye kundu lao watamaliza wa mwisho ila wakipambana sana wanaweza kumaliza nafasi ya 3.
Simba nguvu moja [emoji881]