Pamoja na yaliyo tokea lakini Simba atafuzu robo fainali kwa kuongoza kundi

Pamoja na yaliyo tokea lakini Simba atafuzu robo fainali kwa kuongoza kundi

Akili za kipuuzi hiyo possibility unayowapa thimba as anayechezesha mechi ni mangungu au mohamedi....!!, Vipi Kama wyhdad wakmunga Simba ?, Au vipi Kama Asec akafungwa na Galaxy? Kwamba Simba yeye anauhakika wwkuchukua point tu kwa wapinzani?.
 
Robo siyo stori tena kwa Simba..!! Yaani mkiishia robo, hilo ndo mliwezalo..!! Maana mmeshapiga robo nne mpaka sasa..!! Na ndani yake kuna robo ile ya uchawi, a.k.a tambiko hatarishi kule bondeni kwa Madiba. Na msipoangalia, mwakarobo itakuwa Mwakakundi mwaka huu
Na yanga itakua mwaka nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Game zinafuata 19/12/2023
SIMBA vs WYDAD
ASEC vs JEANENG

Then game zinazofuatia ni
JWANENG vs WYDAD
ASEC vs SIMBA

Game za mwisho
WYDAD vs ASEC
SIMBA vs JWANENG

Kwa upande wa Kundi la Yanga

CR BELOUIZDA vs AL AHLY
YANGA vs MEDEAMA

Then

YANGA vs CR BELOUIZDAD
MEDEAMA vs AL AHLY

Game za mwisho
AL AHLY vs YANGA
CR BELOUIZDAD vs MEDEAMA

Kwa mtiririko huu Yanga wana nafasi kubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vichekesho kwa kweli.
 
Uwezo wa kumfunga Asec nyumbani kwake simba anao na ukitazamia atakuwa tayari ameshafuzu hivyo hana cha kupoteza. Hivyo simba atachukua point 3 kwa Asec na kufikisha point 11, hivyo Simba atamaliza kwa kuongoza kundi akiwa na point 11, Asec nafasi ya pili na point 10, Wydad nafasi ya tatu na point 9, Jwaneng Galaxy nafasi ya mwisho na point 4.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kumbe mambo ya alinacha bado yapo..!!
 
Akili za kipuuzi hiyo possibility unayowapa thimba as anayechezesha mechi ni mangungu au mohamedi....!!, Vipi Kama wyhdad wakmunga Simba ?, Au vipi Kama Asec akafungwa na Galaxy? Kwamba Simba yeye anauhakika wwkuchukua point tu kwa wapinzani?.
Bado unabisha ?
 
Asec mimosa 3 jwaneng galaxy 0

Asec ana point 10 mpaka leo hii.

Kuongoza kundi ni ngumu
 
Asec mimosa 3 jwaneng galaxy 0

Asec ana point 10 mpaka leo hii.

Kuongoza kundi ni ngumu
Hapo ndo mwisho mkuu hatopata point nyingine yoyote, mnyama ataongoza kundi
 
Habari wakuu

Wengi wenu mtakumbuka msimu uliopita nilifanya utabiri wa namna kundi la simba litakavyoisha baada ya kupoteza michezo miwili mfululizo na ndivyo ilivyokuwa mwishoni, utabiri ulienda exactly kama ilivyo tarajiwa.

Hivyo nataka nifanye utabiri wa kundi la simba tena kwa msimu huu. Mpaka sasa Simba ana point 2, Wydad 3, Jwaneng 4, Asec 7. Asec achana nao kwakuwa wao tayari wamejipata.

Mechi ijayo simba atarudiana na Wydad hapa dar es salaam kwa vyovyote simba ahakikishe anamfunga wydad achukue point 3 ukijumlisha na zile mbili alizonazo zitakuwa 5, Asec atamfunga tena Jwaneng hivyo atafikisha point 10 huku Wydad atabaki na point zake 3.

Matchday 5 simba atacheza na Jwaneng Galaxy kwa mkapa na atachukua alama 3 hivyo atafikisha point 8, wakati huo huo Wydad atamfunga Asec na kufikisha point 6( sio guarantee anaweza kushangazwa vilevile na Asec ambapo itakuwa bora zaidi kwa simba).

Mechi ya mwisho Wydad atamfunga Jwaneng Galaxy na kufikisha point 9 huku akisubiria matokeo ya marudiano ya mechi ya Sinba dhidi ya Asec Mimosas ambao kwa point zao 10 tayari watakuwa wameshafuzu hivyo mechi kuwa rahisi kwa simba.

Uwezo wa kumfunga Asec nyumbani kwake simba anao na ukitazamia atakuwa tayari ameshafuzu hivyo hana cha kupoteza. Hivyo simba atachukua point 3 kwa Asec na kufikisha point 11, hivyo Simba atamaliza kwa kuongoza kundi akiwa na point 11, Asec nafasi ya pili na point 10, Wydad nafasi ya tatu na point 9, Jwaneng Galaxy nafasi ya mwisho na point 4.

Kwa wale ndugu zetu kwenye kundu lao watamaliza wa mwisho ila wakipambana sana wanaweza kumaliza nafasi ya 3.

Simba nguvu moja [emoji881]
Mbona nilisikia mechi ya mwisho simba anamaliza home?
 
Mbona nilisikia mechi ya mwisho simba anamaliza home?
Ni kweli mkuu nilifanya makosa kwenye uandishi ila mechi ya mwisho simba atamaliza nyumbani na Jwaneng Galaxy
 
Back
Top Bottom