hahaha,,,,kisa cha kusema ivo Dena, ni kutaka kujua je, alizihitaji za NINI? maana kama alitaka kumkopesha, lazima kuna sababu, je aaliiulizia au aliishia tu kukasirika na kumtosa mazima?
kwa nili alifikiria kumkopa laki 5? alienda anatingisha funguo za gari? au?
Nikupe mfano, the opposite:
Majuzi kati hapa katika harakati za Inf nikaenda na marafiki zangu kweny pub moja ivi, kulikuwa na msichana AKO peke YAKE...tukamwita atujoin, na washkaji, katika maongezi haya na yale, tukapeana contact......ivi na hici after 3 days huwezi amini ananipigia simu, ana dharura,anaomba tuonane, kibinadamu nikasema sawa. Kusikiliza shida yenyewe, eti inatakiwa kumjazilizia kamshiko kidogo, 'mdogo wake' aende shule (kumbuka pozi lake mwanzoni lilikuwa la mtu mwenye uwezo,) sasa hapo unalizungumziaje jambo kama hilo?
jinsi Nyadhiwa alivomshangaa huyo ndivyo na mi nilivyomshangaa huyu, tofauti ni kwamba walau mimi nilimsikiliza kujua msingi hasa wa shida yake nini?