Pamoja na yote kaka zangu

 
Dah...aliliandika kwenya karatasi zetu zile za kijani? pole sana...hujamuuliza za nini? labda anaenda kumalizia kibanda alichokwisha kukujengea kwa jina lako?

lol....

Si umeona eh? Waweza ringa na kilaki tano chako kumbe unajinyima nyumba ya milioni 50. Wanawake bana!
 

kwenye mapenzi hakunaga kukopeshana, labda mpeane tu, akikuambia hajapata ya kukurudishia utamnfanyaje? bora umechukua uamuzi huo khaaa mapema hivyo kashaorodhesha matatizo?...hhahaha kuna mambo kweli kweli.
 
 
Dah...aliliandika kwenya karatasi zetu zile za kijani? pole sana...hujamuuliza za nini? labda anaenda kumalizia kibanda alichokwisha kukujengea kwa jina lako?

lol....

Kaizer? ujenge nyumba ushindwe laki tano ya kumalizia ukakope kwa mwanamke hata hamjdo wewe acha kabisa!!! Wizi mtupu! Mkeo sawa
 
 
Mdogo wangu, ulimaliza ile kazi niliyokutuma?

Luv ya...
 
Si umeona eh? Waweza ringa na kilaki tano chako kumbe unajinyima nyumba ya milioni 50. Wanawake bana!

yaani umekutana na mtu juzi leo akumalizie kibanda? kivipi hapo! kuna wanaume vituko kwa kweli, hapo ingekuwa ndio mrembo amempiga mzinga hata wa 50 elfu angesemwa maneno yote, lakini coz ni mwanaume bac ahhhh....nyadhiwa timkia mbali.
 
Kaizer? ujenge nyumba ushindwe laki tano ya kumalizia ukakope kwa mwanamke hata hamjdo wewe acha kabisa!!! Wizi mtupu! Mkeo sawa

hahaha,,,,kisa cha kusema ivo Dena, ni kutaka kujua je, alizihitaji za NINI? maana kama alitaka kumkopesha, lazima kuna sababu, je aaliiulizia au aliishia tu kukasirika na kumtosa mazima?

kwa nili alifikiria kumkopa laki 5? alienda anatingisha funguo za gari? au?

Nikupe mfano, the opposite:

Majuzi kati hapa katika harakati za Inf nikaenda na marafiki zangu kweny pub moja ivi, kulikuwa na msichana AKO peke YAKE...tukamwita atujoin, na washkaji, katika maongezi haya na yale, tukapeana contact......ivi na hici after 3 days huwezi amini ananipigia simu, ana dharura,anaomba tuonane, kibinadamu nikasema sawa. Kusikiliza shida yenyewe, eti inatakiwa kumjazilizia kamshiko kidogo, 'mdogo wake' aende shule (kumbuka pozi lake mwanzoni lilikuwa la mtu mwenye uwezo,) sasa hapo unalizungumziaje jambo kama hilo?

jinsi Nyadhiwa alivomshangaa huyo ndivyo na mi nilivyomshangaa huyu, tofauti ni kwamba walau mimi nilimsikiliza kujua msingi hasa wa shida yake nini?
 
hahahaha hommie wacha kabisa hii kitu mie juzi kati tu hapo kucheka na mtu kidogo tu kosa....kinachofuata eti nimuongezee mtaji lol..dunia ya miaka hii mh!!
 

Kaizer!!! Hapa tunazungumzia wanaume kupenda kulelewa na wanawake. Unajua kama mwanaume ni kichwa cha nyumba?! Anatakiwa yeye ndo afanye majukumu yote. Lakini kwa teknolojia ya sasa wanawake hawakai home wanatafuta mshiko kwa nguvu zote sasa wanaume ndo wanatake advantage hapo ndo shida ilipo. Kwa huyo mwanamke poa tu!!!!
 
 
ahhhh tembo anjaniboa tu kesho ntatangaza tenda kwa vidig dig....stay tuned!!!!!!!
Ukielekea kwa kaizer upitie kwangu. NASISITIZA. unaweza kuamua kufupisha safari. ya nini kwenda 500km wakati 20km zatosha?
 
Ukielekea kwa kaizer upitie kwangu. NASISITIZA. unaweza kuamua kufupisha safari. ya nini kwenda 500km wakati 20km zatosha?

naja!!!!!
una maandaz kat yana tobo au una ukoo leo?
 
Enhe, Mh. M'kiti ulijazilizia hiyo ada 'mdogo mtu' aende shule kama ulivyosoundishwa ama ulimtupa kuleee, teh teh!
 
we acha tu izi jinsia saa nyingine zinachanganya maaana haya mambo ya kukabidhiwa majukumu ya mwanaume waeza fikiria ushaota kibamia[/QUOTE]

Chauro umenichekesha mpaka basi lol watu mna vituko humu JF MWE
 
kwa maelezo yako hayo DA naona bado wanawake mna tatizo la kuwafahamu vizuri wanaume!nasisitiza bado hamjatujua vizuri!poleni........

Bacha, kwani sisi wanaume tutanawajua wanawake? Nadhani ni suala la kuendelea kujifunza hadi kiama!
 

Kha yaani huyo umfukuze bila hata kumuangalia uson shwain mkubwa lol natamani angekutana na mimi wenzie wanatoaga toaga angalau viofa huyo amekuzarauje (mtanisamehe lol)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…