Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajua bila hivyo jua lisingekucha.... hapendwi mtu hapa mfuko tuu.....wanasema uje na full tanki babu......
Mh mbona sijaielewa mada!! Sijui nimezidisha nyagi??...... nway nimewezakuelewa nyamayao kasema asiwe mariooo kwa asilimia 100%........... mh hapa mie nawezajaza fulusikepu 5 Iv been there once.............ah sasa hivi nikikumbuka najicheka

FP
Hiyo ndiyo tofauti kubwa kati ya mwanamume na mwanamke.. Hata siku moja mwanamume hatoi moyo wake katika mahusiano. Anatoa hisia kidogo tu. You will be luck to get up to 50%
Usinitishe DC, yaani nimeshaanza kupata kizunguzungu! yaani na juhudi zote hizi! du! hiyo 50% ni ndogo sana, ipandishe kidogo basi
Wapo wabarikiwa na labda unaweza kuwa mmoja wao ukajibebea hata zaidi ya 90%. Ila naomba uniamini, moyo wa mwanamume si rahisi kuupenya kama ulivyo wa akina mama! It's rock!
angalau sasa nina nafuu, kumbe kuna wachacheeeeeeeeeee, te te teeeeeeeee, basi mimi nimebahatika sana; ngoja nizidishe mashambulizi ili % zisije zikashuka, h aaaaaaaaaaaaaaaa
Ila wakati huo ujue unadeal na mtu ambaye moyo wake ni mwamba (Rock, Petro etc). Kwa hiyo check ur steps!
ha haaaaaaaaaaa. mambo ya kucheza kwa step........... ntajitahidi my dear