Pampers na boxer zimeanza kutumika miaka gani hapa Bongo?

Pampers na boxer zimeanza kutumika miaka gani hapa Bongo?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kichwa cha Habari kinajitosheleza.

Miaka ipi tumeanza kuvalisha watoto pempas je ni 90' au 2000'. Na vipi kuhusu chupi na vipi kuhusu boxer naombeni ufafanuzi.
 
Boxer zilikuwepo tangu zamani,lakini enzi hizo tulikuwa tunaziita Bukta!,wengi wetu (KE & ME) tulikuwa tukivaa chupi!,japokuwa zilikuwepo chupi za kike na Me!.

Nadhani baada ya Utandawazi ndipo ikaonekana Mwanaume kuvaa chupi ni Miyeyusho,hivyo chupi likabaki kama vazi rasmi la Mwanamke na mwanaume wa Kitanzania akaona ni vema akavaa bukta ndogo (Boxer) ndani ya Suruali ya kitambaa au Jeans!.

Mimi binafsi nimeanza kuvaa Boxer(Bukta) Mwaka 2000 hadi leo!
 
Back
Top Bottom