Boxer zilikuwepo tangu zamani,lakini enzi hizo tulikuwa tunaziita Bukta!,wengi wetu (KE & ME) tulikuwa tukivaa chupi!,japokuwa zilikuwepo chupi za kike na Me!.
Nadhani baada ya Utandawazi ndipo ikaonekana Mwanaume kuvaa chupi ni Miyeyusho,hivyo chupi likabaki kama vazi rasmi la Mwanamke na mwanaume wa Kitanzania akaona ni vema akavaa bukta ndogo (Boxer) ndani ya Suruali ya kitambaa au Jeans!.
Mimi binafsi nimeanza kuvaa Boxer(Bukta) Mwaka 2000 hadi leo!