Pampu ya chipsi vs Pampu ya Ugali

Vijana wengi siku hizi mfumo wa maisha umewafanya wanamegewa wake zao.....sorry for bankers...maana nasikia katika bankers 4 wa 2 wanamegewa wake zao...
.....
unakuta rijitu limechoma nyama nusu,beer,mchemsho na kitimoto....afu linaona rahaaa mazoezi halifanyi impact lazima akifikia mbunye anasizi....
 

mashine kama hizi kyepe yai cha stivie D utafleti
 
Chanzo huwa ni mawasiliano duni tu! Unakuta mmoja haridhiki ktk ndoa wakati mwenzake anashindwa (au hajali) kulitambua hilo na mara nyingi ni kwa makusudi tu. Pengine anahitaji uwe proactive zaidi na viashiria vinaonekana lakini mwingine hafuati au hasomi hizo signs. Kwa hiyo kwa kiwango kikubwa sana say 85 - 95% huwa ni mawasilianom mabaya.

Kwa taarifa tu ni kuwa hao ambao inasemakana ni pump za ugali ukweli ni kwamba wamedevelop comm skills ktk nyanja hiyo ya mapenzi kiasi huwafanya waweze ku-tell kuwa huyu mama/dada haridhishwi na mpenzi wake vile vile kwa upande wa wale dada wengine wanajua kuwa huyu Baba/Kaka haridhishwi na mpenzi wake. Kwa case zote kuna kuwa na swala la kutongozwa na issue ya kuwa ooh labda mtu haridhiki basi muuza mchicha akitokea atamwambia njoo uni-do hakuna kitu kama hicho pia hao wauza mchicha huwatokea hao wake zatu!

Kwa hiyo si kweli kwa kusema kuwa watu wanatoka nje ya ndoa kwa kutoridhishwa kama sababu ya msingi swala ni mawasiliano duni. Mpenzio anataka mitindo ya aina aina (outside the box) lakini for some reason hasikilizwi/haeleweki. Ni wazi kabisa kuwa pakiwepo na mawasiliano mazuri kwa pamoja mtatafuta majawabu, Iwe mtu anachoka haraka, au hana utundu fulani fulani nk!!!
 
Naombeni mnijuze kwa ambao hatupo east and southern africa ambako ugali unapatikana tule nini instead?Na kwa mantiki hiyo pampu za ukweli zipo africa tu?

Pengine ndo maana wathungu wanafagilia sana waswahili...
 
Pamoja na vyaluka lakini life style nayo imepunguza nguvu za wanaume. Ndiyo maana mimi nieamua kuachana kabisa na western foods. Hivi sasa nina miaka mitano tangu niachane na vyakula kama chips. Hata vinywaji sinywi chai wala soda. Vyakula vyangu vinaungwa karanga, mbegu za maboga, alizeti na nyonyo. Nyama zangu ni kuku na samaki na wala huwa siungi kitu chochote zaidi ya chumvi. Sukari nimeacha. Natumia natural honey. Kila ninaposafiri huwa sisahau asali. Kwa style hii, nimekuwa Dumelambegu. Hata nikiona goti la mwanamke inakuwa shida. Niliamua kuishi maisha ya aina hii baada ya kusoma maelezo kuhusu namna Mfalme Mswati anavyoishi. In fact, hata wakifoleni akina dada watano, naweza kuwahudumia bila clearly bila chengachenga.
 

Dah, yaani mule mule..
Halafu ukishajipangia dayati kama hii basi ongezea na zoezi kidogo la viungo.
Siku nikiota kitambi basi sitoki ndani kwa aibu:sick::sick:
 
Hivi wale mabaunsa vp, nao wapo fit ama!!
Au wachezaji mpira (supa staaaaaz) nao vp, fit ama!!

Hao wengi waoni 'chakula', nguvu yote ya misuli ya ndizi inahamia kwenye misuli ya mikono!!!
 
Dah, yaani mule mule..
Halafu ukishajipangia dayati kama hii basi ongezea na zoezi kidogo la viungo.
Siku nikiota kitambi basi sitoki ndani kwa aibu:sick::sick:

Ila uwe makini braza. kama taget zako ni nyumba ndogo au loose balls, ukiwa na kitambi ndo unafanikiwa kirahis maana unaonekana pedezhee.
 
Naombeni mnijuze kwa ambao hatupo east and southern africa ambako ugali unapatikana tule nini instead?Na kwa mantiki hiyo pampu za ukweli zipo africa tu?

magimbi,mihogo iko kila mahali,kwani huko hakuna maduka ya waafrica ndugu,hahaha usijekuwa pampu ya chipsi:laugh:
 

Ndo shida ya kurudi home mko busy na laptop zenu, hamna hata muda ya wake zenu. Kazini kompyuta, nyumbani tena buzy na comp, wake wanapenda maongezi na vijana wanajua kuwaongelesha wake za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…