Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,720
Vijana wengi siku hizi mfumo wa maisha umewafanya wanamegewa wake zao.....sorry for bankers...maana nasikia katika bankers 4 wa 2 wanamegewa wake zao...Tukio la hivi karibuni mtaani kwetu ambapo jamaa mmoja alimfumania wife wake 'akimega mkate' na kijana mmoja kinyozi limekuwa ni muendelezo wa matukio ya wake za waume wenye ajira nzuri, pesa na familia bora kukutwa na vijana wasioweza hata kulinganishwa nao kimaisha.
Kilichonigusa ni pale kijiweni vijana walikuwa wanasema hawa wanaume wanasaidiwa kutokana na mfumo wao wa maisha, kupenda vitu soft na kujikuta hata kwenye majamboz kiwango kinashuka.
Walinimaliza pale kijana mmoja aliposema ....'Bro unadhani pampu ya Chipsi ni sawa na pampu ya Ugali'?...
.....
unakuta rijitu limechoma nyama nusu,beer,mchemsho na kitimoto....afu linaona rahaaa mazoezi halifanyi impact lazima akifikia mbunye anasizi....