Ukiwapa hoja inayowafanya wajikune watakwambia hawapendi ushoga.Basi CCM wakiandikwa hivi wanafurahi mnooooo, wanajiona (kama VIONGOZI wao wanavyojiita) Majangili, wauwaji, Watekaji..... soon tutatengwa
Anayekupa bajeti ya unga robo na dagaa atashindwaje kukuazimia?Takataka, kuna mtu hapo AU wa kutoa azimio dhidi ya Tanzania
Sikio kiziwi ni sikio mfu.CCM sikio la kufa
Na kama huyo mwanaharakati wa kenya angeuawa!!sijui kungetokea nini!!walizoea kufanya hivyo kwa watz na ikaisha pouwa tu!!siku moja wajichanganye kwa raia wa trumpHoja nzuri
Bado haijaisha mpaka iishe kabisa tulikuwa tunatekana wenyewe sasa tumeingia kimataifa zaidi.
We've written to @_AfricanUnion, @achpr_cadhp, @jumuiya, @SADC_News with a copy to international partners demanding immediate action and accountability from @SuluhuSamia on missing activist
@AAgather and torture and dumping of @bonifacemwangi. At least 48 entities have enjoined the Pan African PLSN on this call.
We demand:
- Immediate clarification on @AAgather’s whereabouts
- Investigation into torture allegations
- Diplomatic intervention at highest levels
- Respect for rule of law & human rights in EAC.
View attachment 3342668
View attachment 3342669
Tanzania inajiongoza yenyewe duniani ipo kwenye kisiwa cha patmo haihitaji international laws.Takataka, kuna mtu hapo AU wa kutoa azimio dhidi ya Tanzania
Na Kumbe ni member watiifu wa chama cha mashoga na hata Wabunge wao walikiri Hilo kuwa CCM kuna Wabunge mashoga. Bunge halijawahi kukanusha kauli hioUkiwapa hoja inayowafanya wajikune watakwambia hawapendi ushoga.
Halafu na wewe ukawaamini?Ukifatilikia hili sakata utagundua, Serikali ya kenya na uganda ndio waliwachoma hao watu wao wanyoshwe. Jana nimemsikia waziri wa mambo ya nje wa uganda kaweka code wazi sana. Yule wa kenya nae mpaka anadai jamaa kajificha mombasa.
Kelele za chura