Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
Wengine hiyo wanaita ni culture of dependency.Planning is a broader term hata kuomba msaada kwa jirani ni sehemu ya plan.
Unatakiwa ujitegemee kwa sehemu kubwa katika mafanikio yako.
Wengine hiyo wanaita ni culture of dependency.Planning is a broader term hata kuomba msaada kwa jirani ni sehemu ya plan.
Ndiyo kusema yale mawe tuliyoambiwa yatapiga kelele hawa wakinyamazishwa, sasa yako kazini?Mungu awabariki wakenya, na wote wanaowapambania Watanzania wanaofanyiwa uharamia wa kuitisha na watawala wao waliojaa uovu mioyoni mwao.
Mungu wetu, tunaomba laana juu ya hawa watawala watumishi wa shetani ambao wapo kwaajili ya kuwagandamiza Watanzania, badala ya kuwasaidia.
At least they're doing something.Mnaishi sana kwenye past na kutegemea wengine kuchomoka, I am thinking it’s a culture problem.
Yaani fate yako ya maisha hiko mikononi kwa watu wengine.
Panga plan żako, kwenda kulalamika AU ni sawa kupeleka kesi ya ‘Ngedere’ kwa ‘Nyani’.
Nchi yenyewe ni omba omba mkuu itakuwa wananchi wake.Wengine hiyo wanaita ni culture of dependency.
Unatakiwa ujitegemee kwa sehemu kubwa katika mafanikio yako.
Usijali itakuwa nchi ya mfano tena Lissu atakaposhika dola😁Tanzania ilikuwa nchi ya mfano kwa amani leo imekuwa nchi ya majambazi
Sasa waziri wa fedha Mwigulu, Kilimo Bashe na Mipango Mkumbo; unategemea nini.Nchi yenyewe ni omba omba mkuu itakuwa wananchi wake.
Wewe ni chawa mpuuzi sana!Takataka, kuna mtu hapo AU wa kutoa azimio dhidi ya Tanzania
Peana muda wakatiKelele za chura
Muungwana kuhusishwa na uchafu tu ni aibu!Takataka, kuna mtu hapo AU wa kutoa azimio dhidi ya Tanzania
Ni kupoteza muda bila sababu za msingi.Peana muda wakati