Diplomatic way of cooling the pressure.Ukifatilikia hili sakata utagundua, Serikali ya kenya na uganda ndio waliwachoma hao watu wao wanyoshwe. Jana nimemsikia waziri wa mambo ya nje wa uganda kaweka code wazi sana. Yule wa kenya nae mpaka anadai jamaa kajificha mombasa.
Wapimwe tu vibaka hao.Na Kumbe ni member watiifu wa chama cha mashoga na hata Wabunge wao walikiri Hilo kuwa CCM kuna Wabunge mashoga. Bunge halijawahi kukanusha kauli hio
Kwa nini nisiamini wakati wanawaponda eti wafate sheria za Tz waache janja janja? Wewe ukweli wako ni upi mkuu?Halafu na wewe ukawaamini?
Ndio ujue wanalindana. Jana Mwangi baada ya kutelekezwa, wakadai ameachiwa baada ya maongezi ya kidiplomasia.Diplomatic way of cooling the pressure.
Kwahiyo sisi tulipoenda Afrika Kusini, Msumbiji, Zimbabwe, Uganda kuwasaidia wajikomboe tulikuwa na tabia za kimasikini.Ni culture issue, sociologists wanaita ‘fatalism’ moja ya tabia za watu maskini.
It’s predetermined, someone has to rescue you; blame everything except your own initiatives.
Ndio akili za wafuasi wa CDM.
Kwa mtu anayewajua wa zanzibar na aliyewahi kukaa zanzibar anajiuliza sijui ilikuwaje tukampa nchi mzanzibar maana hawa jamaa ukiachana na ubaguzi kichwani hamna kitu kabisa kwenye elimu ni weupee labda mashindano ya Quran.Huyu mama aondoke tu urais hauwezi hata kidogo.
Aache ujinga wa nzi kufia kwenye kidonda. Kuna watanganyika wengi sana wenye uwezo kuiongoza nchi.
Sio Chadema ni Watanzania na jumiya za kimataifa kuliona hilo,Hii barua haikupaswa kwenda AU hii barua inapaswa kwenda moja kwa moja Mahakama ya Kimataifa ya Makosa yz Jinai (ICC)
AU hawana lolote la kuifanya Tanzania na Viongozi wake maana hawa wote ni ndege wafananao ambao huruk pamoja.
It's high time, Chadema should take necessary steps kuwaomba Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai kuanzisha uchunguzi rasmi dhidi ya Samia na Serikali yake kwa haya makosa dhidi ya Binadamu.
Ni sawa for the matter of procedures tu. Ila mwisho wa kiburi kwa hawa wapuuzi wa CCM ni ICC.Sio Chadema ni Watanzania na jumiya za kimataifa kuliona hilo,
ni kweli AU is a tooth less organ but you to exhaust all means possible before reaching the ICC.
Mnaishi sana kwenye past na kutegemea wengine kuchomoka, I am thinking it’s a culture problem.Kwahiyo sisi tulipoenda Afrika Kusini, Msumbiji, Zimbabwe, Uganda kuwasaidia wajikomboe tulikuwa na tabia za kimasikini.
Kwahiyo ulitaka watu wafanye nini wanapotekwa na vyombo vyao vya dola, a way forward sio kutuambia theory za vitabuni.Mnaishi sana kwenye past na kutegemea wengine kuchomoka, I am thinking it’s a culture problem.
Yaani fate yako ya maisha hiko mikononi kwa watu wengine.
Panga plan żako, kwenda kulalamika AU ni sawa kupeleka kesi ya ‘Ngedere’ kwa ‘Nyani’.
Anapiga kwenye mshono.
Kama tusingewasaidia ANC, Frelimo na vyama vya ukombozi kusini mwa Afrika nchi zile zingekuwa huru?Mnaishi sana kwenye past na kutegemea wengine kuchomoka, I am thinking it’s a culture problem.
Yaani fate yako ya maisha hiko mikononi kwa watu wengine.
Panga plan żako, kwenda kulalamika AU ni sawa kupeleka kesi ya ‘Ngedere’ kwa ‘Nyani’.
Ukweli usemwe ila kusema Kenya inatu Outshine kwenye kila kitu ni kamba labda kama mtu hajawai kuishi Kenya.
Plan appropriatelyKwahiyo ulitaka watu wafanye nini wanapotekwa na vyombo vyao vya dola, a way forward sio kutuambia theory za vitabuni.
Nyie ndiyo wababe! Si ndiyo? Mna akili kuliko wote na hakuna wa kuwagusa! Ndivyo majinga yanavyojionaga yakipewa nafasiTakataka, kuna mtu hapo AU wa kutoa azimio dhidi ya Tanzania
Planning is a broader term hata kuomba msaada kwa jirani ni sehemu ya plan.Plan appropriately
Kupata suluhu yako busara ni kupunguza madaraka ya raisi, civil services iwe independent, civil services ikiwa imara next uchaguzi huru.Kama tusingewasaidia ANC, Frelimo na vyama vya ukombozi kusini mwa Afrika nchi zile zingekuwa huru?
Unadhani kambi za Kaole Bagamoyo na Mazimbu Morogoro zilikuwa zinafuga panya nini?
Achaga kujitoa ufahamu. Bila msaada sometimes huwezi toboa.