vitu vingine haina hata haya ya kumshirikiasha Mungu..ni kushapa lapa tu. huyu anatamaa na pesa...ilishawai kunitokea kwa mwanamke mmoja siku moja, jina lake alikuwa anaitwa..L.Kimaro....nilimpenda, nikiwa chuo hapo bongo.....akanikimbia, akakatisha mawasiliano kwa mwaka mmoja..nikachapa lapa..sasa aliposikia nimemaliza chuo na nimeshaanza kufanya kazi...akaja juu kuwa ananipenda hivyohivyo...kusema ukweli kipindi icho sikuwa nimeokoka..nilimfanyia kitendo kibaya sana...ajabu ni kwamba wazazi wake walikuwa hawanifahamu..hivyo nikamwambia sawa..nikasubiri ametangaza hadi kwao kuwa mimi nataka kumwoa..mimi ni wa mkoa wa kusini,...yeye ni wa machame...kuna siku nilikuwa naenda Nairobi nikakutana naye Arusha...alinifuata gesti lakini sikumdo wala nini...niliposubiri ametangaza kila kitu na anajiandaa...iyo alikuwa anataka afanye chapchap...nikamwambia simuoi.....yale maumivu aliyoniumiza na mimi nilimuumiza..kusema ukweli...baada ya kuokoka, namuonea huruma...kwasababu alimwacha harakaharaka mwanaume wake aliyemtorosha kwangu...akafikiri nitamwoa...sasa nilipompiga chini kwa adhabu sijui kama yule mwizi wangu alimuoa au la......hayo ndo yaliyonikuta na mimi..
wanawake wa aina hiyo, wanakuwa hawakupendi...ila wanapenda kazi yako, wanapenda kwasababu umeenda ulaya..etc. hawafai..na wanaweza wakakuua ili wapate mali, kisha wanaenda kuitafuna na yule wanayempenda toka moyoni...uyo mwanamke ni kabila gani?