Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
- Thread starter
- #21
Huwa anaongea kwa kuchekesha na kisauti chake kile ila kesho utamuona White House akiwa anatia saini karatasi hapo ndipo utajua alikuwa hachekeshiSpeech za jamaa zinakuwaga na ladha flani ya kipekee...kama utani hivi alafu wakati wa utekelezwaji ni kilio.