PANAMA machaguzi ni mawili tu ni akubali Panama Canal irudi chini ya usimamizi wa Marekani au avamiwe, Trump kazi kaanza

Speech za jamaa zinakuwaga na ladha flani ya kipekee...kama utani hivi alafu wakati wa utekelezwaji ni kilio.
Huwa anaongea kwa kuchekesha na kisauti chake kile ila kesho utamuona White House akiwa anatia saini karatasi hapo ndipo utajua alikuwa hachekeshi
 
France imesema itawasaidia Denmark kuilinda Greenland dhidi ya U.S incase kikinuka anytime
Germany kuna vuguvugu la kundi kubwa la watu kutaka kujitoa EU na kuanza kuangalia zaidi maslahi ya Germany.
Baada ya miaka 5 huenda Marekani itakuwa imepoteza ushawishi mkubwa maana ni kama vile sasa inawageuka allies wake na kuwatisha.
 
Amesema atawalima ushuru mzito Taiwan muda sio mrefu
 
Germany kuna vuguvugu la kundi kubwa la watu kutaka kujitoa EU na kuanza kuangalia zaidi maslahi ya Germany.
Baada ya miaka 5 huenda Marekani itakuwa imepoteza ushawishi mkubwa maana ni kama vile sasa inawageuka allies wake na kuwatisha.
Huyu jamaa ni kama hajali chochote kuhusu allies wa U.S labda mtoto pendwa pekee Israel lakini hawa wengine kazi wanayo.

Maana anavurugana na washirika wake bila hata kujali maybe kwa sababu ni term ya mwisho hivyo hajali kuhusu maamuzi yake.

NATO na mashaka nao sana kitakacho kuja kuwakuta members wakae mkao wa kula
 
Amesema atawalima ushuru mzito Taiwan muda sio mrefu
Sasa Taiwan wamebaki bila msaada china naichukua kiulaini.
Jana nimecheka Germany walizima vinu vya nuclear enzi za Markel, wakategemea gas ya Urusi ambayo kwa sababu ya vita wakaisusa na Marekanii anauwauziia gas ya LNG kwa gharama kweli kitu ambacho viwanda vinashindwa kupata faida kwa sababu ya gharama za uendeshaji.
AfD wanasema wao watawasha tena hivyo vinu na kuiondoa Germany EU kwa sababu kanuni za EU si za kidemokrasia maana zinaua uchumi wa Germany na viwanda vyao.
Halafu watu wanadai kuna propaganda Ulaya kwa vyama vinavyopinga American interests kuwa labelled as extremists
 
Hivi kumbe hawezi kuongeza muda kwa sababu hakuunga vipindi viwili.
Nasoma comments za watu wanasema gharama za maisha Marekani ziko juu na watu wanashindwa kuziafford. Hizi tarriffs zitaongeza bei ya bidhaa na kuzidi kufanya maisha yawe magumu zaidi.
Mwisho wa siku nachojua vita hii ya China, USA na hao wengine, atakayeibuka kidedea ni China. Influence ya China kwenye nchi za South America itaongezeka. Kumbuka anajenga na viwanda vya magari huko.
 
Tanganyika ipi tena? hii si ilishachukuliwa na wanzanzibar na ndio maana hata ndani ya muungano haionekani
 
Tanganyika ipi tena? hii si ilishachukuliwa na wanzanzibar na ndio maana hata ndani ya muungano haionekani
Haionekani lakin wanolia ni kina nani sheikh. Huu ni mchezo wa karata unaliwa huku unachekewa
 
Yaani wanavurugana wenyewe kwa wenyewe.

Yaani hii vita ya China na Marekani atakaye outsmart mwenzake ana win sehemu kubwa ya dunia hasa ulaya
 
Na sasa anafukuza wahamiaji sijui nani atafanya kazi katika mashamba na viwanda vya wamarekani katika namna ilivyokuwa awali
 
Na sasa anafukuza wahamiaji sijui nani atafanya kazi katika mashamba na viwanda vya wamarekani katika namna ilivyokuwa awali
Madereva wa malori kazi zimeanza kudoda,hakuna matunda ya kubeba sababu wavunaji wameingia mitini kukwepa kurudishwa
 
Hatari sana; Canada + Mexico + Panama + Greenland, zote ziwe Marekani!
Itakuwa anataka kujenga historia kutoka kwa wababe wa viat waliomtangulia.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…