Juakali jr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 737
- 1,740
Wataalamu wanasema Ni rahis sana kupasuka mkuu especially kwenye jua kali ... ni vyema kununua tairi mpya...Wakuu nimefuatilia kwenye mtandao inasemekana tairi likipata pancha yeyote kwenye sidewall sio vizuri kuiziba.
Wajuzi hebu tusaidie pancha ya kama kwenye picha hapo tunatupa tairi
Shukrani mkuu, nimekusomaInawezekana,mimi kuna tairi langu moja la Goodrich lilikuwa bado kabisa na kashata zake nzuri,lilichanika pembeni,sikujua hata nilikanyaga nini,nikalipeleka kwa fundi kuziba akanitolea nje vibaya akasema kuwa haliwezi kuzibika,basi sikuwa na ujanja nikaliacha,labda ngoja waje wajuzi watoe ufafanuzi...
Inabidi nitafute hiyo oko, ila kwa sasa kimeshakosa amani.Si vema na pia si salama kwa safari ila kuna mbadala wa hilo.Kuna dawa fulani inaitwa OKO sijui kingereza chake hiyo inafaa sana kuzibia pancha na matundu ya matairi ili mradi tairi liwe zima si kipara au la kuchonga.Nunua hiyo kuliko kuziba na utambi.
Shukrani mkuu, elimu ya matairi ni hafifu hapa kwetu. Mafundi wa mtaa wanasema haina shida ila kila nikifungua mtandao naona vitu vya ajabu ajabuWataalamu wanasema Ni rahis sana kupasuka mkuu especially kwenye jua kali ... ni vyema kununua tairi mpya...
Mkuu tairi ni jipya ila msumari sijui iliingiaje hapoMpaka tairi inapasuka hapo unakuwa unaendeshaje mkuu? Ikifika hatua hiyo jua tairi ni chakavu balaa. Haiwezi pasuka usikokanyagia kirahisi rahisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kuna binadamu kapiga msumaliMkuu tairi ni jipya ila msumari sijui iliingiaje hapo
Na ukizingatia hilo ni tairi la nyuma na sio mbele
Hyo OKO sio nzur sana kwa matair mapya, nilishuhudia jamaa alinunua matair mapya zen akatia OKO na alikuwa na safar ya mwanza, huwez amin zilipasuka zote njian tena tairi mbili kwa pamoja, sema kwa bahat nzur zile tair mbili alizo toa alizi beba na ndo zikamsaidia kumalizia safar zakeWataalamu wanasema Ni rahis sana kupasuka mkuu especially kwenye jua kali ... ni vyema kununua tairi mpya...
Hyo OKO sio nzur sana kwa matair mapya, nilishuhudia jamaa alinunua matair mapya zen akatia OKO na alikuwa na safar ya mwanza, huwez amin zilipasuka zote njian tena tairi mbili kwa pamoja, sema kwa bahat nzur zile tair mbili alizo toa alizi beba na ndo zikamsaidia kumalizia safar zake
Hyo OKO sio nzur sana kwa matair mapya, nilishuhudia jamaa alinunua matair mapya zen akatia OKO na alikuwa na safar ya mwanza, huwez amin zilipasuka zote njian tena tairi mbili kwa pamoja, sema kwa bahat nzur zile tair mbili alizo toa alizi beba na ndo zikamsaidia kumalizia safar zake
Haifai kabisa. Huwa inakauka na kujikusanya sehemu moja. Inaharibu wheel balance. Ukiwa safari gari litakuboa aise. Hayo madude hayafai.Hyo OKO sio nzur sana kwa matair mapya, nilishuhudia jamaa alinunua matair mapya zen akatia OKO na alikuwa na safar ya mwanza, huwez amin zilipasuka zote njian tena tairi mbili kwa pamoja, sema kwa bahat nzur zile tair mbili alizo toa alizi beba na ndo zikamsaidia kumalizia safar zake
Kama tairi bado zima kuna jamaa wanaweka kiraka cha moto. Linapiga kazi viruzi tu. Linaweza maliza maisha yake. Japo kwa usalama, ukiziba ni bora likatumika mjini tu. Kwenye safari sio uhakika saana.Wakuu nimefuatilia kwenye mtandao inasemekana tairi likipata pancha yeyote kwenye sidewall sio vizuri kuiziba.
Wajuzi hebu tusaidie pancha ya kama kwenye picha hapo tunatupa tairi.View attachment 1486031
Toa location mkuuKama tairi bado zima kuna jamaa wanaweka kiraka cha moto. Linapiga kazi viruzi tu. Linaweza maliza maisha yake. Japo kwa usalama, ukiziba ni bora likatumika mjini tu. Kwenye safari sio uhakika saana.
Niliziba nikiwa safarini Mwanza. Ila hilo tundu kwenye tairi lako ni dogo saana. Wala hakuna haja ya kiraka cha moto. Hapo ilifaa kuliziba kwa kiraka kinachowekwa ndani ya tairi, kile cha gundi, sio hicho cha uzi. Kingeshika viruzi saana. Mie balaa lilinonikuta sio la kitoto. Ndio ikabidi waweke hicho kiraka cha moto.Toa location mkuu
Hapo unatembea na tiketi ya kifo,trust me hasa kama unasafari ndefu.Niliziba nikiwa safarini Mwanza. Ila hilo tundu kwenye tairi lako ni dogo saana. Wala hakuna haja ya kiraka cha moto. Hapo ilifaa kuliziba kwa kiraka kinachowekwa ndani ya tairi, kile cha gundi, sio hicho cha uzi. Kingeshika viruzi saana. Mie balaa lilinonikuta sio la kitoto. Ndio ikabidi waweke hicho kiraka cha moto.
View attachment 1488198
Mkuu hilo lilitembea safari ya mkoa.Niliziba nikiwa safarini Mwanza. Ila hilo tundu kwenye tairi lako ni dogo saana. Wala hakuna haja ya kiraka cha moto. Hapo ilifaa kuliziba kwa kiraka kinachowekwa ndani ya tairi, kile cha gundi, sio hicho cha uzi. Kingeshika viruzi saana. Mie balaa lilinonikuta sio la kitoto. Ndio ikabidi waweke hicho kiraka cha