RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,397
- 1,899
Hehehee! Mjini hakuna ishu. Linapiga kazi vizuri tu. Cha msingi utambue ukilema wake.Hapo unatembea na tiketi ya kifo,trust me hasa kama unasafari ndefu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehee! Mjini hakuna ishu. Linapiga kazi vizuri tu. Cha msingi utambue ukilema wake.Hapo unatembea na tiketi ya kifo,trust me hasa kama unasafari ndefu.
Mostly mjini mpaka lilipokwisha muda wake. Japo niliwahi kwenda nalo safari ya DSM-Mwanza na kurudi, kistaarabu lakini.Mkuu hilo lilitembea safari ya mkoa.
Au lilikuakwa route za mjini?
Ngoja nifanye hivyo, nikipata safari naligeuza speaMostly mjini mpaka niliipokwisha muda wake. Japo niliwahi kwenda nalo safari ya Dsm-Mwz na kurudi, kistaarabu lakini.
Ni kweli kabisa mkuu, zinafaa tu kwenye tair za pikipiki tena iwe imeanza kuchoka, ukiweka kwenye tair mpya ujue ushaiua,Haifai kabisa. Huwa inakauka na kujikusanya sehemu moja. Inaharibu wheel balance. Ukiwa safari gari litakuboa aise. Hayo madude hayafai.
Kabisa. Maana enzi hizo kila ukienda kuziba tairi jamaa lazima warecommend.Ni kweli kabisa mkuu, zinafaa tu kwenye tair za pikipiki tena iwe imeanza kuchoka, ukiweka kwenye tair mpya ujue ushaiua,
Hii dawa ingekuwa nzur bac kila mtu angeweka maana hakuna anaependa kupata pancha wakati OKO ipo ukitia inazibaaa....mwanzon watu waliishobokea ila baada ya kujua madhara yake walikimbia chap kwa haraka