TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Wakaribishwa tena na tenaAsante kwa elimu.
Nimekaa NIC Life House ghorofa ya nane, nilishawahi kuuwa nyoka mara mbili. Jirani yangu Mhindi alihama baada ya mkewe kumkuta nyoka kwenye maua yaliyokuwa balconyElimu nzuri hii. Ila huku mjini posta nyoka hawezi fika.
Nyoka wapo mkuu, hata sijui huwa wanatoka wapi, lakini wapo.Elimu nzuri hii. Ila huku mjini posta nyoka hawezi fika.
Kuna ile miti mikubwa sana maenneo hayo itakuwa walifika ghorofani kwa kupitia matawi ya miti iliogusana na majengoNimekaa NIC Life House ghorofa ya nane, nilishawahi kuuwa nyoka mara mbili. Jirani yangu Mhindi alihama baada ya mkewe kumkuta nyoka kwenye maua yaliyokuwa balcony
Ingependeza zaidi kama mmgeweka picha zahio mimea