Pande za moshi: Yule babu muhindi muuza juisi bado yupo?

Pande za moshi: Yule babu muhindi muuza juisi bado yupo?

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
7,033
Reaction score
15,638
Habari za pande zote.

Naomba kuuliza watu wa kipande hiyo(mo-town)

Yule babu muhindi pale dabo rodi alikuwa anauza juisi bado yupo??

Nilikuwa nikipita mitaa hiyo lazma niende kunywa juisi pale zilikuwa tamm sana.

Nilikuwa napenda ukifika pale ukataka juisi,basi anafungua friji anatoka na chupa 2 moja ya njano imgine nyekundu..

Huku anakuuliza
"Veve taka kundu au taka jano"
huku anazitingisha km shampeni zichanganyike vizuri...

bado yupo babu maana ni kitambo sana..
 
Watu wa Moshi mnaitwa huku
 
😂😂😂 noma sana,
ilikua nikienda town lazima nitimbe.. alafu alikua na cake tam kweli
 
Back
Top Bottom