Habari za pande zote.
Naomba kuuliza watu wa kipande hiyo(mo-town)
Yule babu muhindi pale dabo rodi alikuwa anauza juisi bado yupo??
Nilikuwa nikipita mitaa hiyo lazma niende kunywa juisi pale zilikuwa tamm sana.
Nilikuwa napenda ukifika pale ukataka juisi,basi anafungua friji anatoka na chupa 2 moja ya njano imgine nyekundu..
Huku anakuuliza
"Veve taka kundu au taka jano"
huku anazitingisha km shampeni zichanganyike vizuri...
bado yupo babu maana ni kitambo sana..