Pandikizi la Urusi, Crimea laponea kuuawa, mwendo wa kuishi kwa uwoga na kugeuza geuza kichwa

Eti leo,unajua hiyo picha ya lini?Angalia baada ya Coup kufeli,mwamba akaingia kitaa,full kujichanganya na raia!
Wewe unaleta porojo gani?Punguza utoto!

Hehehe asante kwa hii video inatia huruma hata kuzidi picha niliyokupa, hivi umeitazama hiyo video sheikh, jamaa kazingirwa na wapambe hapati pa kupumulia, itazame mpaka mwisho, ni fupi, jamaa wanazuia watoto hata kumgusa rais wa supapawa.
Kweli jamaa anateseka, tena kwenye nchi yake aisei...hehehe
 
We jamaa akili yako unaijua mwenyewe!U r full of crap!
Watu wanapiga selfie na Putin,wewe unaleta ngonjera!Putin anajiamini sana,ingekuwa mtu mwingine kwanza angeogopa kujichanganya hivyo ukizingatia maadui alionao!
By the way,huyo ni Rais wa taifa kubwa!Ulinzi ofcoz lazima uwepo!
 
Wewe ndiye umeshikiliwa akili kama wavaa kobaz wenzio, unajua maana ya selfie wewe, kama huna MBs azima utazame hako ka-short clip ambapo Klemrin inasambaza kote, jamaa wako desperate sana.
 
Wewe ndiye umeshikiliwa akili kama wavaa kobaz wenzio, unajua maana ya selfie wewe, kama huna MBs azima utazame hako ka-short clip ambapo Klemrin inasambaza kote, jamaa wako desperate sana.
Video nimeleta mwenyewe halafu unaleta mbwembwe hapa!
Putin inaonekana amekuvuruga sana!
Wewe unateseka nini Putin kwenda kitaa kuwapa hai raia wake?
Utapata pressure bure,kunywa maji utulie!
 
Video nimeleta mwenyewe halafu unaleta mbwembwe hapa!
Putin inaonekana amekuvuruga sana!
Wewe unateseka nini Putin kwenda kitaa kuwapa hai raia wake?
Utapata pressure bure,kunywa maji utulie!

Hehehe umeleta bila kuitazama maana mnapokezana huko baada ya kusambazwa na Klemrin, sasa ukiitazama utaona namna huyo mtume wenu anatia huruma, kaazime MBs...hehehe takbir.
 
Hehehe umeleta bila kuitazama maana mnapokezana huko baada ya kusambazwa na Klemrin, sasa ukiitazama utaona namna huyo mtume wenu anatia huruma, kaazime MBs...hehehe takbir.
Una shida wewe,mimi kabla hata sijaleta hapa nilikuwa nimeshaiona yote Aljazeera!
Mwamba anajiamini,anawafuata watu anashikana nao mikono kiroho safi tu!
Sasa kama unaumia,pole sana!
Hebu njooni na hoja za maana za kujadili sio kuleta utoto,maneno ya kanga na kujichekeshachekesha!
 
Ungekua umeiona usingekua na kiherehere cha kuitumia maana inatia aibu, au labda umeona hiyo thumbnail yake ikakupotosha, azima MBs utizame yote sheikh.
 
Wemngekua umeiona usingekua na kiherehere cha kuitumia maana inatia aibu, au labda umeona hiyo thumbnail yake ikakupotosha, azima MBs utizame yote sheikh.
We jamaa vipi?Putin atakutoa roho,sio kwa obsession hiyo!
Relax,Putin akili kubwa!
 
Kweli kabisa,utoto mwingi na maneno ya kanga plus kujichekeshachekesha!
Kuna mwalimu wangu alikuwa anatunfudisha O-Level mara nyingi alikuwa na msemo wake kuhusu vijana waliokuwa wanaji chekesha chesha ovyo dararasani, alikuwa anasema kucheka cheka ovyo ni dalali za Umalaya na ukiwa pwani bila Shaka wataku - sodomise!!
 
Jasusi hauwawi na Alshabau waSomalia hapo westgate Nairobi😅😅😅😅
 
Hata Bush amewai rushiwa kiatu live, so intelligence sio inafanya kazi 100% Muda wote.
Fails zipo.
 
Hata Bush amewai rushiwa kiatu live, so intelligence sio inafanya kazi 100% Muda wote.
Fails zipo.

Kurusha kiatu au hata penseli au hata camera inawezekana kwa rais yeyote duniani, lakini bomu, mtu anakuja na bomu mpaka anamnusia rais mnamkamata wakati anataka kulichomoa, hamna bomb detection tools, jameni ingekua yale mazombi yenu ya kidini ya kujilipua hata asingehitaji kulichomoa, angebonyeza tu na afie hapo akawahi mabikira....
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…