Pandisha HISIA, Shusha MZIGO Tembea. Ni kama ushauri tu

Pandisha HISIA, Shusha MZIGO Tembea. Ni kama ushauri tu

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,380
Reaction score
1,686
Ushauri wangu wa leo ni kwa wanamume tu.

Ndugu yangu mwanamke wa kileo Ukifika au akija getoni kwako chakufanya ni

KUPANDISHA HISIA, Shusha MZIGO tembea

Hio ndio iwe kauli mbiu yako.

Sio unaanza kuzuia hisia huku ukiisi kuna kunasehemu utamfikisha huko ni kujichelewesha tu,

Mara sijui umpakie Mkongo ni bure unajiumiza,

Sijui upeleke ulimi chumvini kaka ni bure unajitafutiia maradhi ya ajabu ajabu.

Wanawake wenyewe wameshatoka huko mda tu.

Akifika mpe ela yake PANDISHA zako hisia fanya kama upo na mdada mzuri sana wa hapo kazini kwako anayekukataa kila siku.

Nenda nje ndani nje ndani hata ikiwa kwa nje ndani 3 SHUSHA zako mzigo mwache atembee, au Koga zako maji lala.

Wala hakuna TUZO ya mfungaji BORA au ya mchezaji BORA zaidi ya U.T.I na H.I.V

umelipa ela ya bajaji umemlipa ela na yeye alafu unatumia masaa matatu kumuandaa hivi unaakili timamu kweli?
 
Mnapata tabu kweli vijana.

Sisi tusiokuwa na nguvu tujikubali, sisi wazee wa tako 3 tumekojoa tujikubali. Sisi wa kimoja chali tujikubali.😂🤣😂

Tuwaache wenye nguvu zao, wenye kuwapelekea moto wadada vizuri. binadamu hatuko sawa,
😂🤣
 
Hapa umenena aisee
nazungumzia akina GIGY sio kwa mkeo plz nielewe vizuri ndio maana kuna sehemu nimesema unalipa bajaji unamlipa na yeye soma kwa makini.

Nimemuona jamaa wa GIGY akipata tabu sijui apeleke ulimi sijui vidole ndio maana nikaja na huu uzi hivyo sikumaanisha kwa wake zenu.
 
Wanaume wengine hupenda kuangaika hivyo mkuu
 
Back
Top Bottom