Pandisha Mzuka wa Tendo la Ndoa Kwa Misamiati ya kimapenzi

Pandisha Mzuka wa Tendo la Ndoa Kwa Misamiati ya kimapenzi

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Juzi nilipelekwa Buza, Kwa mara ya pili maana Buza NI kubwa Sana
Nikaenda kuulizia maana ya mparange sijui Kwa mparange nikapata maana nilicheka sana

Sijui mambo ya kiswede mambo ya Ambaruti

Basi akapita binti mwenye Shepu yake, babu mmoja akamwambia Yule binti, "Mariam nakuja huko huko jiandae kupanua paja gogo laja"🏃🏃🏃🏃🏃🏃

Babu alinikumbusha mbali Sana
Leo natembea njia ya Mlimani city nakutana na wadada wamevaa na tshirt zimeandikwa misamiati huu
1593100058437.jpg


Sikuhizi watoto hawana kabisa tafsida, anaweza akatukana akikuita mpaka genye zikakuisha🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶

Sasa na misamiati yetu ya kale, walaaa, midadi inapanda unasubiria Gogo like kama lote
 
Back
Top Bottom