Pandora Box:Trump anafungua ya JFK na MLK US huku TZ tunasubiri ya JPM,JK na SSH kubaka Katiba ya CCM na JMT je,Mungu kampa TAL kazi hiyo maalum?

Umenena vyema lakini nina pata mashaka baada ya Mama 2030 hali itakuwaje labda tungoje uchaguzi ndani ya Chama 2027 kwanza.
Mwalimu Nyerere Aliwahi kutamka Kwamba "Bila Nchi kupanga na kusimamia uchumi wake yenyewe na kwa Uaminifu basi kungeruhusu mamlaka za serikali kunyakuliwa, kutumikia, kunufaisha na kulinda matakwa ya kikundi kidogo kwa “maangamizi” dhidi ya Mwananchi wa Kawaida....na Vikundi Hivyo ni vya kuogopa Kama Ugonjwa wa Ukoma!
 
Kinachokera katika Uzi huu ni huko kumtaja Mungu (ambaye wengine tunamsujudia) Kisha kumuhusisha huyo mnafiki na mfitini lissu. Hv kweli M/Mungu anaweza kuwa na jambo lake halafu akalipitishia kwa mhalifu.
Mkuu mbona Mungu alimtumia Lucifer kujenga Imani zetu kupitia Ayubu?
 

Nani alikuwa nyuma ya aliyetaka kumuuwa yeye ?? Aweke wazi pia
 
Nyaraka ziwekwe wazi hata hapa Tanzania ili tujue:-
1. Nani alimuua Sokoine?
2. Nani alimuua Kolimba?
3. Nani alimuua mzee Kibao?
4. Nani alimuua Membe
3.bado tunasubiri uchunguzi wengine taarifa zipo wazi labda kama unajua kitu tujulishe na siye.
 
Mkuu mleta hoja ni kufukua makaburi yaani kujua nani alimua au walishirikiana kumua Kennedy Raisi,Kennedy mwanasheria mkuu,na wanaharakati Martin Luther King.
Mleta hoja katelemka au kaelezea vizuri kilichotokea USA na nia ya Raisi Trump kuweka report hizo open to the public.

Lakini anochokilinganisha kwa Tanzania hakipo wazi,wala havifanani na USA.Kibaya zaidi uchangiaji mwingine unaonyesha uvamizi wa hoja as offside road comments.
Wakati mwingine achukuwe muda kuchunguza na kulinganisha jambo ili asiitwe kituko.
 
Nyaraka ziwekwe wazi hata hapa Tanzania ili tujue:-
1. Nani alimuua Sokoine?
2. Nani alimuua Kolimba?
3. Nani alimuua mzee Kibao?
4. Nani alimuua Membe?
Na nani alimuua Magufuli.
 
Mwalimu Nyerere Aliwahi kutamka Kwamba "Bila Nchi kupanga na kusimamia uchumi wake yenyewe na kwa Uaminifu basi kungeruhusu mamlaka za serikali kunyakuliwa, kutumikia, kunufaisha na kulinda matakwa ya kikundi kidogo kwa “maangamizi” dhidi ya Mwananchi wa Kawaida....na Vikundi Hivyo ni vya kuogopa Kama Ugonjwa wa Ukoma!

Trump anajaribu kuvunja ile chain the same kwa Lissu Tz

NADHANI UNAELEWA MANTIKI YANGU ILIPOKUWA MKUU,ASNTE KAMA UMENIELEWA SASA🙏
 
JWTZ wanapaswa kuingilia kati..
 
Vyombo vya dola huwa haviingilii mambo ya ndani ya vyama labda itokee uvunjivu wa amani na usalama
Katika nchi ya chama kimoja kama Tanzania, katiba ya CCM ni sawa na katiba ya nchi ndio maana Mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa nchi na amiri Jeshi mkuu, na moja kati ya majukumu ya JWTZ ni kuhakikisha katiba inafuatwa, sema hao major generals wa Jeshi ni makada pia ya CCM kwa sababu zamani ilikuwa haiwezekani kujiunga na chombo cha usalama kama hauna kadi ya TANU/CCM..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…