Pandora Box:Trump anafungua ya JFK na MLK US huku TZ tunasubiri ya JPM,JK na SSH kubaka Katiba ya CCM na JMT je,Mungu kampa TAL kazi hiyo maalum?

miaka michache ijayo pia watu wataitaji kujua juu ya mahuaji yk na yeye
 
Nyaraka ziwekwe wazi hata hapa Tanzania ili tujue:-
1. Nani alimuua Sokoine?
2. Nani alimuua Kolimba?
3. Nani alimuua mzee Kibao?
4. Nani alimuua Membe?
5. Nani 'alimtokomeza' Saanane?
6. Nani 'alimtokomeza' Azory Gwanda?
7. Nani alimshambulia Lissu?
8. Mwendakuzimu aliuawa au ni natural death(COVID-19)?
9. .......
10. ......
 
Reactions: G4N
Mzee amekuja na speed kubwa , atafutwe mtu wa kumfunga kengeree, lengo ni kubland chama chake ,ila sasa speed kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…