Pandu Kificho: Spika mwenye hekima iliyopindukia...

Pandu Kificho: Spika mwenye hekima iliyopindukia...

CCM ni Msitu wa Vipaji na Hekima. Chadema waliona ni Haramu kumteua Mh. Pandu Mwenye Diploma ya Sheria na kumuacha Mh. Prof Mahalu eti kwa kuwa ana elimu ya Zaidi, lakin waliona ni halali kumteua Form Six Failure Mbowe Kugombea Urais na Kumuacha Prof. mwesiga Baregu 2005.
 
Hajakutana na watu wenye hoja nzito za kuiyumbisha ccm... lazima atapata jazba then tutaona uzuri na ubaya wake
Kumbuka hakuna spika alieweza kusimamia bunge la wawakilishi lililokuwa na mvutano mkubwa kama mh.pandu kificho miaka ya 2001
 
Pandu Ameir Kificho anatumia busara sana na angefaa kuwa mwenyekiti wa kudumu wa hili bunge kwa kipindi tangu limeanza amekuwa akitumia busara zaidi kuwarudisha wajumbe kwenye reli maana wengi kama tunavyojua wanapenda kuropoka na kutoka nje ya mada husika tumpe heshima yake anamtengenezea njia nzuri kwa huyo anayekuja
 
Hata mimi nimemuangalia juzi na jana kiukweli nimemuelewa sana.
 
Umejibu kipengere kimoja tu. Hujaweka vigezo vyovyote ulivyotumia kuhitimisha maoni yako. Uongozi pia ni contingency ( unategemea mahali, aina ya watu unaowaongoza na wakati) Baraza la wawakilishi na Bunge la Jamhuri wa Tanzania) ni vitu viwili tofauti kwa maana ya watu na changamoto zake. Nikisikiliza mijadala ya Baraza la wawakilishi nikalinganisha na ile ya Bunge la Jamhuri ni kama naota ndoto. Linawafaa wenyewe. Hoja nyepesi mno na ndiyo maana hata mtu mwenye Diploma analiweza. Waliposema wanataka kutunga Katiba yao, hakuna aliyeweza kuona kama wanavunja Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Leo baada kuvunja ndipo wanaona maana ya kuwa na bendera wimbo wao waTaifa kuwa kumbe ilikuwa ni kuvunja Muungano. Kiongozi wa Baraza la wawakilishi ni huyohuyo unayemwita mwenye Hekima. Hekima maana yake ni kutatua migogoro bila ya kuleta athari zaidi kama Mfalme Seleiman wa kwenye Biblia. Alitatua tatizo la wanawake wawili waliokuwa wakigombea mtoto bila ya kupoteza uhai wa mtotowala kuumiza yeyote baina ya wanawake hasimu
Safi sana!!! umeeleweka sana.
 
kweli kabisa...angepata wakina tundu lisu, mnyika, msinga n.k.. kule kuna yaheeee na shekhe, na kuheshmiana sanaaa.



Ukweli uzungumzwe.
Mh. Pandu ana busara ya hali ya Juu na haingilii hoja ya mtu kwa ushabiki .Ni mtulivu na mvumilivu sana.
Tumpongeze kwa kuanza vizuri.
 
Subr kwanza mkuu ndo kwanza zege linakorogwa!hata robo hatujaona! Mwenendo wa katiba unakuaje! Kikubwa tuendelee kumuomba mungu ampe hekima na utash kwa hli,,
 
Jamani huu ni mtazamo wangu tu. Kwa hakika huyu M/kiti
Pandu Kificho binafsi amenikumbusha enzi zile za Mh. Samuel Sitta
kwa namna anavoliendesha hili Bunge linalopitia rasimu ya kanuni za zitakazotumika
ktk kuliongoza Bunge la katiba hapo baadae.

Jamaa yuko 'very relaxed, reserved, wise and friendly'. Kwa hakika, kwa mtazamo wangu,
nyuma ya uwepo wa huyu mzee kwenye kile kiti, ni wazi kulikuwa na mkono wa Mungu.
Hebu imagine kama kwa bahati mbaya kwenye hiki kiti angekuwa amekalia mmoja wa
'wateule wa kile 'chama chetu makini' hivi ingekuwaje? Najiuliza tu wajemeni.

Jioni njema
 
Kwani yeye ni wa chama gani?
Nimemwangalia sana nadhani analinda weredi wake,tofauti na wengine wanaojitoa ufahamu ili kulinda maslahi ya chama.
 
Nazani hamumjui vizuri kificho,yeye ndie anaeizuia miswada inayohusu muungano pale baraza la waakilishi isijadiliwe,kama si yeye basi leo hii zanzibar ingekuwa inapumua zamani.
 
mapema sana watanzania kuwa wajinga kihivyo..hamuwezi weka pongezi za heshima na kuacha reserve ,ili kesho akiangukia wanapoanguakia wengine basi kutukuka kwako kusiwe mapema sana.
 
CCM ni Msitu wa Vipaji na Hekima. Chadema waliona ni Haramu kumteua Mh. Pandu Mwenye Diploma ya Sheria na kumuacha Mh. Prof Mahalu eti kwa kuwa ana elimu ya Zaidi, lakin waliona ni halali kumteua Form Six Failure Mbowe Kugombea Urais na Kumuacha Prof. mwesiga Baregu 2005.
CC
Mungi@Yericko Nyerere@Ben Saanane
 
Last edited by a moderator:
busara yk yote akija akikubali kupitisha kura ya wazi, tutamkaanga hadharani na yeye
 
hakika katika kutafakari maspika mbalimbali waliowahi kusimamia bunge letu kwa haki busara na *usawa* kati ya s.sitta a.makinda p.msekwa hakika sijawahi iona *hekima ya ajabu* aliyonayo mh.p.kificho,ukizingatia yeye si msomi sana elimu yake ni ya kidato cha 6 na diploma,au ni nani awezaye pinga na asiyeliona hili?

Usomi ni nini?
 
CC
Mungi@Yericko Nyerere@Ben Saanane

This is simple arithmetic, Mbowe is not booksmart but very intelligent Prof Baregu is booksmart but not intelligent, you dont need to be a rocket scientist to pick Mbowe and drop the bookworm Baregu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom