Pandu Kificho: Spika mwenye hekima iliyopindukia...

 
Last edited by a moderator:
Umdhaniye ndiye, siye. CCM wamempandikiza Pandu Kificho. Kuna unafiki mkubwa sana unaoendelea ukiwapo wa malipo ya shilingi 420,000 kwa wajumbe wa ZANZIBAR kwa kikao cha siku moja while wajumbe wa bara wanalipwa 300,000 per day.

Kificho ni BOYA tu
 
This is simple arithmetic, Mbowe is not booksmart but very intelligent Prof Baregu is booksmart but not intelligent, you dont need to be a rocket scientist to pick Mbowe and drop the bookworm Baregu.
you explain it well! always booksmart overcomfident thereself and cause underperformance,but the "house/parliament need enough wisdom and intelligence"
 

Kichwa chako kimejaa minyoo! Mbona 2005 alichaguliwa "mzee wa gentlemen degree" na kuwaacha wasomi maprofeseri?
 
CCM ni laana ya nchi..hata JK alivyoingia walijaza ktk media praise zake ktk ujinga..Hata mijinga ya taifa stars hupewa sifa ...kuliko akina Messi..... Sasa mmeanza na huyu boya ambaye tayari alianza kta muda wa Wenje...
 
Umdhaniye ndiye, siye. CCM wamempandikiza Pandu Kificho. Kuna unafiki mkubwa sana unaoendelea ukiwapo wa malipo ya shilingi 420,000 kwa wajumbe wa ZANZIBAR kwa kikao cha siku moja while wajumbe wa bara wanalipwa 300,000 per day. Kificho ni BOYA tu
Wazenj walifanywa bidhaa miaka mingi sana..thisi time around itakuwa ngumu sana..lazima sasa CDM na watanzania wenye akili waanze jenga mazingira kwa CCM kupaya the price
 
Pandu ameri kificho ni spika wa miaka 18 sasa na ana busara sana kuliko maspika wote tz,amekutana na misukosuko mikubwa sana ya cuf na ccm wakati huo watu wanapigana na kuuana kwa siasa,anaepinga hamjui kificho kamuona kwenye bunge la katiba tu

Pandu Ameir kificho amekaa kwenye kiti cha spika kama miaka 23 tangu awamu ya salmin,Amani, na sasa ni Shein.

Amekumbana na misukosuko mingi sana kwenye siasa zaid ambazo hata bunge la mh6 halifikii, ana uzoefu wa kutosha na sasa anamjua nani ana hoja nani anaporojo.

Si MTU wa kuburuzwa na chama
 
Haihitaji muda mrefu kumjua mtu mzuri na mbovu mnapokutana.
Mbona makinda alipotajwa tu tukajua imekwisha?
Huyu bwana yuko vzuri angempata mtu kama Sitta afanye nae kazi tutaongea mengine.
 

Huyu ndiye aliyekuwa akiwafukuza wabunge wa CUF katika mijadala kwenye baraza la wawakilishi enzi zile!
 
Haihitaji muda mrefu kumjua mtu mzuri na mbovu mnapokutana.
Mbona makinda alipotajwa tu tukajua imekwisha?
Huyu bwana yuko vzuri angempata mtu kama Sitta afanye nae kazi tutaongea mengine.

Sitta mnafiki na ndumilakuwili hafai kwa lolote
 
Nilikuwa sijawahi kumuona wala kumsikia......lakini jana alinikosha sana alivyotaka bunge liendelee hadi Saa tano usiku....karibu wabunge wote walikataa wakati siku ni masaa 24
 
Kificho ndani ya maccm atajificha au atajipanjua yaani kupasuka.we subiri
 
 
Kichwa chako kimejaa minyoo! Mbona 2005 alichaguliwa "mzee wa gentlemen degree" na kuwaacha wasomi maprofeseri?

Nyie ndio mjibu hiyo hoja maana mnahoji mkuchaguliwa Pandu na kuachwa Mahalu as if Elimu ndio kigezo pekee cha kuchaguliwa.

Pia kumbuka wakati Dkt Jk anamaliza Form six 1974 alipata Alama za kwenda chuo kikuu moja kwa moja ( kumbuka muda huo chuo kilikuwa kimoja tu ) halafu yule wenu akaanza kutafuta Certificate pale Kipalapala Seminary kwa kuwa hakufikisha alama za kujiunga na Chuo kikuu cha Dar es salaam japo wote A level walisoma Masomo ya Uchumi..
 

Kwenda chuo kikuu mapema sio hoja ila chuo alisoma nini na kiasi gani alifaulu pia kwa muda gani ,kama sikosei MH Rais ni kati ya ya watu ambao degree yake ilichukua muda mrefu sana kuliko kawaida, sababu sizi elewi lakini lazima kuna kitu nyuma ya pazia mwenye uelewa juu ya hili la mheshimiwa kuchukua muda mrefu na daraja la ufaulu naomba atueleze
 

1974-1977 kwa Degree ni muda mrefu? au unataka za muda mfupi kama za Mrema miezi sita?, au unataka kama za 'Vipaji' kama ya Slaa aliepata PHD akiwa na Certificate?
 

Wewe una elimu gani? Kwanza unaansika kama uko fb, jifunze kuandika. Halafu usipende sana kutetea ujinga, hivi huyo Kificho ana hekima au Bunge linamshinda? Kificho yuko sloo sana, hafai kabisaa...
 
huko chuo kikuu alipataje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…