panga budget yeyote kwa kiasi hiki cha pesa..ili iishe leo leo

Hapa nshazipasua kama 2 kwa Kilimanjaro ndogo mchemsho wa kuku na bado siku ndio kwanza imeanza
 
Kilo moja ya nyama 7000,nyanya 500,mboga za majani fungu 3 kwa 500...juices mbili za wanangu wawili za bukubuku...Vingine vipo ndan.imeisha iyo
 
Asubuh
Mkate 1000
M chai 100
Sukarri robo 700

MCHANA
Maharage robo 700
Mchele nusu na robo. 1500
Mkaa kipimo 1000
M.kula na viungo. 2000
Ndiz za kuiva. 1000

Napika full mchana na jion imeisha hiyo
Nafikir chenji ipo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
nyama kg1 7000
hoho&karoti 1000
viazi mviringo 1000
mayai 3 900
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…