Panga pangua CCM: Dkt. Migiro kung'atuka, Wasira naye kuondoka

wamemlazisha labda avae hijab, kwa maana siku hizi na yeye akiwa na bosi wake anaonekana kavaa hijab wakati miaka yote alikuwa havai huo ujinga, hiyo inaweza pia kuwa ni sababu, nyingine ameona anafanya kazi na watu wasio na shule wakati yeye ni msomi hiyo pia, halafu majungu ya muslims pia inawezekana yamemuondoa.

huyo mama hana mambo ya islam, kwake dini ni private matter hivyo hawezi kuiva na muhamadans …
 
Katibu licha ya kuzeeka hana amani,kwa miaka mungi ndoa yake ina shida sema hatangazi wala haoneshi na wanaishi kila mtu chumba chake
Duuh!
Haya ungeacha yabaki faragha yake.
Pamoja na kuwa kwenye chama cha watuhumiwa uuwaji namheshimu, na amekuwa na busara ya kukaa kimya na kuchunga mdomo usimpotoshe.
Anastahili kuwekewa stara kwenye mambo yake binafsi.
 
Nimesoma, mwisho hapo, KASI ya BIBI SAMIA...Hata achaguliwe nani, akili zake ni lazima zifanane na BIBI yenu, Allah Samia.

Hakuna wazo jipya zaidi ya MAUAJI, WIZI na DHULMA.
 
Duuh!
Haya uneyaacha yabaki faragha yake.
Pamoja na kuwa kwenye chama cha watuhumiwa uuwaji namheshimu, na amekuwa na busara ya kukaa kimya na kuchunga mdomo usimpotoshe.
Anastahili kuwekewa stara kwenye mambo yake binafsi.
Exactly! Asha migiro mama mwenye hekima.
 
FEDHULI Samia the butcher amekalia kuti kavu, kila hila anayojaribu kuifanya sasahivi haitafanikiwa.
 
CCM ilivyochoka kwa sasa hata wakimleta robot wa Nape hawezi kuwasaidia.
View attachment 3585156
Hata iwapo wakizikana shauri yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…