Panga top 5 yako ya maji ya kunywa ya chupa

1. Kilimanjaro
2. Dasani
3. uhai
4. Masafi
5. Maji afrika

Kuna yale maji yanaitwa Icerberg. Haya maji yalikuwa ni machafu hadi ukiyaona tu tumno linatetemeka. sina uhakika kama yapo, siku nyingi sijayaona. Pia kuna maji flani niliyakuta mbeya (yanatengenezwa mkoa wa Rukwa) yana harufu flani mbaya sana, yaani kama umekunywa maji ya bwawani.
 
Huku Nilipo ni Maji ya Mto tu kwenda MBERE ila Maji mazuri kwangu ni haya:-
1. SAYONA
2. DASANI
3. KILIMANJARO
4. NDANDA SPRING.
5. COOL BLUE.
Ebana namba 1 ndo nayagonga hapa...namalizia lita 1, nianze namba 3 hadi kufikia saa 11 jioni nitakuwa nishamaliza lita 2.5 kwa siku ya leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…