Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dasani yana gesi nyingi ikiifungua tu psiiiiiDasani maji ya hovyo kabisaa kutokea
Kweli kabisa hio,sijui watu wanayapendea nini aisee.dasani yana gesi nyingi ikiifungua tu psiiiii
Ebana namba 1 ndo nayagonga hapa...namalizia lita 1, nianze namba 3 hadi kufikia saa 11 jioni nitakuwa nishamaliza lita 2.5 kwa siku ya leo.Huku Nilipo ni Maji ya Mto tu kwenda MBERE ila Maji mazuri kwangu ni haya:-
1. SAYONA
2. DASANI
3. KILIMANJARO
4. NDANDA SPRING.
5. COOL BLUE.
Udizingwa 1Mimi yangu ni hii:
1.Kilimanjaro
2.Afya
3.Uhai
4.Dasani
5.Masafi