Ipo waziNakuja Pm
Kama umeifunga basi imekula kwako
Ni Dasan hayo,Kuna maji ya chupa (sitayataja jina)
Maji haya ukichanganya na K vant au konyagi, basi ujue pombe yako inakatika.
Sijui maji haya😎yana nini
HahaahahaNi Dasan hayo,
Wewe ni mdarisalama. Na hujui kuwa haya maji yanauzwa kikanda na hata hapo dsm ulipo kuna sehemu wanauziwa maji ya mkwawa na sehem zingine hayapo.Mimi yangu ni hii:
1.Kilimanjaro
2.Afya
3.Uhai
4.Dasani
5.Masafi
Unayaseme Dew drop nadhani1. Kilimanjaro
2. Dasani
3. uhai
4. Masafi
5. Maji afrika
Kuna yale maji yanaitwa Icerberg. Haya maji yalikuwa ni machafu hadi ukiyaona tu tumno linatetemeka. sina uhakika kama yapo, siku nyingi sijayaona. Pia kuna maji flani niliyakuta mbeya (yanatengenezwa mkoa wa Rukwa) yana harufu flani mbaya sana, yaani kama umekunywa maji ya bwawani.
babe hayo maji mengine ya wapi mbona siyajui mm!Kilimanjaro
Dasani
Seque
Masafi
MajiPoa