Panga top 5 yako ya maji ya kunywa ya chupa

Panga top 5 yako ya maji ya kunywa ya chupa

1. Dew Drop

2. Dasani

3. Afya

4. Kisima

5. Kilimanjaro

Nimeiweka Kilimanjaro ya mwisho sijaionea ni moja kati ya maji nisiyoyapenda na sijui kwanini? Wakati wengine wanayapa sifa nyingi kuwa ni Maji mazuri lakini mimi huwa siioni test yake.
 
Mimi huwa sinywi maji,nikisikia kiu nakunywa bia mwili wenyewe utajua jinsi utakavyo convert hizo bia kua maji
 
Mimi yangu ni hii:
1.Kilimanjaro
2.Afya
3.Uhai
4.Dasani
5.Masafi
Wewe ni mdarisalama. Na hujui kuwa haya maji yanauzwa kikanda na hata hapo dsm ulipo kuna sehemu wanauziwa maji ya mkwawa na sehem zingine hayapo.

Katafiti kwanza ndio uje na bandiko lako
 
1.Sequa
2.Dewdrop
3.Udzungwa
4 Malagarasi
5. Bado sijaona maji ya kuyashindanisha na hayo hapo juu

Maji mazuri lazima PH iwe 7.0
 
1. Kilimanjaro
2. Dasani
3. uhai
4. Masafi
5. Maji afrika

Kuna yale maji yanaitwa Icerberg. Haya maji yalikuwa ni machafu hadi ukiyaona tu tumno linatetemeka. sina uhakika kama yapo, siku nyingi sijayaona. Pia kuna maji flani niliyakuta mbeya (yanatengenezwa mkoa wa Rukwa) yana harufu flani mbaya sana, yaani kama umekunywa maji ya bwawani.
Unayaseme Dew drop nadhani
 
Back
Top Bottom