Panga top 5 yako ya maji ya kunywa ya chupa

Panga top 5 yako ya maji ya kunywa ya chupa

1.Balimi Extra Lager (Ndogo)
2.Power Banana
3.Gardeners wine banana
4.Valuu superior blandy
5.Maji ya bomba
 
Smirnoff ice
Balimi
Safari
Gongo
Kilimanjaro
 
Mada imenipitia kushoto sioni kandoro hapo kwenye list
 
Kilimanjaro,,
Mzalengo
Uhai
Ya mvua alafu mwisho ni
Udzungwa
 
Kuna maji ya chupa (sitayataja jina)
Maji haya ukichanganya na K vant au konyagi, basi ujue pombe yako inakatika.
Sijui maji haya😎yana nini
Mkuu hebu yataje uokoe jahazi cz leo jioni kuna zoezi zito linalotarajia kuhusisha dilutions.
 
1.Kilimanjaro
2.Kilimanjaro
3.Kilimanjaro
4.Kilimanjaro
5. Ndanda
 
Kilimanjaro ndo maji hayo mengine Ni uchafu
Ukiona hayo mengne yanavyopakiwa kunywa Ni uchafu
 
Kandoro
Kilimanjaro
Kilimanjaro
Kilimanjaro
Kilimanjaro
 
Back
Top Bottom