Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ndo maji sijaona mengine zaidiTupo pamoja mkuu sijaona mbadala wa kilimanjaro...
kweli kabisaDrop of Zanzibar
Zan Aqua
Zenjy
Zanzibar cool
Kilimanjaro
Hayo ya rukw ni drop1. Kilimanjaro
2. Dasani
3. uhai
4. Masafi
5. Maji afrika
Kuna yale maji yanaitwa Icerberg. Haya maji yalikuwa ni machafu hadi ukiyaona tu tumno linatetemeka. sina uhakika kama yapo, siku nyingi sijayaona. Pia kuna maji flani niliyakuta mbeya (yanatengenezwa mkoa wa Rukwa) yana harufu flani mbaya sana, yaani kama umekunywa maji ya bwawani.