Pangani: Juma Aweso kafanyaje hadi kupata kura zote za Wajumbe kila Kata?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
MATOKEO YA AWALI KURA ZA MAONI PANGANI

1):KATA YA MKALAMO
1.Jumaa Aweso- 219
2.Ramadhan Zuberi-0
3.Mariam Abdalah-0

2):KATA YA MKWAJA
1.Jumaa Aweso- 248
2.Ramadhan Zuberi-0
3.Mariam Abdalah-0

3):KATA YA KIPUMBWI
1.Jumaa Aweso- 414
2.Ramadhan Zuberi-0
3.Mariam Abdalah-0

4):KATA YA MIKINGUNI
1.Jumaa Aweso- 396
2.Ramadhan Zuberi-0
3.Mariam Abdalah-0

5):KATA YA MWERA
1.Jumaa Aweso- 250
2.Ramadhan Zuberi-0
3.Mariam Abdalah-0

6):KATA YA TUNGAMAA
1.Jumaa Aweso- 297
2.Ramadhan Zuberi-0
3.Mariam Abdalah-0

7).KATA YA BWENI
1.Jumaa Aweso- 189
2.Ramadhan Zuberi-0
3.Mariam Abdalah-0

8).KATA YA PANGANI MAGHARIBI
1.Jumaa Aweso- 489
2.Ramadhan Zuberi-0
3.Mariam Abdalah-0

9).KATA YA PANGANI MASHARIKI
1.Jumaa Aweso- 157
2.Ramadhan Zuberi-0
3.Mariam Abdalah-0

10):KATA YA KIMANGA
1.Jumaa Aweso- 284
2.Ramadhan Zuberi-0
3.Mariam Abdalah-0

11).KATA YA MADANGA
1.Jumaa Aweso- 184
2.Ramadhan Zuberi-0
3.Mariam Abdalah-0

12).KATA YA BUSHIRI
1.Jumaa Aweso- 213
2.Ramadhan Zuberi-0
3.Mariam Abdalah-0

13).KATA YA MASAIKA
1.Jumaa Aweso- 273
2.Ramadhan Zuberi-0
3.Mariam Abdalah-0

14).KATA YA UBANGAA
1.Jumaa Aweso- 213
2.Ramadhan Zuberi-0
3.Mariam Abdalah-0
Your browser is not able to display this video.
 
jamaa itakuwa mjanja mjanja huyu
 
Sawa na kupita bila kupingwa, yeye na mkewe wote mjengoni,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…