Panic as China Puts Kenya SGR Funding on Hold

Panic as China Puts Kenya SGR Funding on Hold

huyo jamaa ana reflect kariba ya wasomi wa kikenya toka kenyatta university, university of nairobi na moi university.

30km za nairobi ni ndefu kuliko 30km za dar, hapo katoa bonge la boko.[emoji23]

kuna mmoja aliwahi kuja na porojo ati eneo la nairobi metropolitan ni 3200km sq, nikwambia eneo lote la county ya nairobi halizidi 696km sq, sasa hizo 2504km sq za ziada ambazo zinajumuisha nairobi metropolitan kazitoa wapi, akashindwa kunipa jibu. akaishia kutoa pivu.

hawa jamaa sijui kwenye vyuo vyao wanasomea ujinga.
We should even stop accusing Uhuru Kenyatta because I have realised he is smarter than the majority Kenyans.😂😂😂 If he can fool them on the construction of a double deck expressway of 30km then trust me he is leading citizens with the lowest IQ in Africa.
 
Hahaaa.. hiyo naikumbuka, hoja yao eti Nairobi imejengeka na inazidi kujengeka zaidi ya mipaka ya county. Kwa uelewa wao Nairobi ina kua kama mti [emoji2]
alikuja na screenshot lakini bado ilishindwa kuonyesha alikopata 2,504km sq za ziada za nairobi metro.[emoji23]
 
alikuja na screenshot lakini bado ilishindwa kuonyesha alikopata 2,504km sq za ziada za nairobi metro.[emoji23]
[emoji2] [emoji2] free comedy...Ndyo maana ikipita siku sijaingia humu nahisi ku umwa. Sasa hii ya leo ni mupya kuna Ke Kms [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu jamaa mahaba yamemzidi kimo
Ameishi Nairobi 15 years hajawahi fika Kibera😂😂😂😂 Katoa povu kama Slayqueen fulani hivi!..😂😂😂 Mambo huku ni 🔥🔥🔥🔥🔥
 
Hamna Mkenya ametetea jambo hili la deni kuwa juu. Pengine mambo mengine
Mbona mnatetea kibera usiku na mchana wakati watz tunawaulumia na kupiga kelele kuwa kibera ni zaidi ya jehanamu kuwa Kenya inatia aibu nyinyi mnatetea jubilii
 
Wewe nawe kumbe ni troll wa mtaani... Naona kina anneal walikuachia usukani manake siku hizi naona wako na discipline kidogo.

Nairobi ni ndogo/closed space, infact, Nairobi is the smallest county in Kenya, lakini Majengo ni mengi, kutembea 1km ndani ya mji utakua umeona maeneo mengi sana kuliko ukiwa mji Kama Dar. Kwa mfano Mimi hua naskia kibera iko only a few km from the CBD lakini sijawahi kuiona na macho yangu miaka 15 ya kuishi Nairobi. kuna maeneo hata sijui yana exist.
Ndio maana in Nairobi unaeza kuta acre moja inauzwa kwa 500M wakati nje ya Nairobi ni 1m...
So yes, 30km in Nairobi is a very long distance compared to a city like Dar,
Very long
 
Hizo ni sifa za kijinga. I travel all over the world but I have never seen an increase or decrease in terms of KM.[emoji23][emoji23][emoji23]
You having lived in Nairobi for 15 years and you don't know were Kibera is I can only request for Mwaswast to come and pick you because you are among 1 of the 4 Kenyans with Mental disorder there in Nairobi.[emoji23][emoji23] Mwasiti kuja chukua huyu mgonjwa wa akili hapo Nairobi.View attachment 859961For 15 years you are in Nairobi you don't know were Kibera is while when a tourist lands at JKIA the first place to ask for is Kibera !![emoji87][emoji87] Wewe bure kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23] So uko busy sana kuliko hata Unye na Odinga?[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe nawe kumbe ni troll wa mtaani... Naona kina anneal walikuachia usukani manake siku hizi naona wako na discipline kidogo.

Nairobi ni ndogo/closed space, infact, Nairobi is the smallest county in Kenya, lakini Majengo ni mengi, kutembea 1km ndani ya mji utakua umeona maeneo mengi sana kuliko ukiwa mji Kama Dar. Kwa mfano Mimi hua naskia kibera iko only a few km from the CBD lakini sijawahi kuiona na macho yangu miaka 15 ya kuishi Nairobi. kuna maeneo hata sijui yana exist.
Ndio maana in Nairobi unaeza kuta acre moja inauzwa kwa 500M wakati nje ya Nairobi ni 1m...
So yes, 30km in Nairobi is a very long distance compared to a city like Dar,
Ukiona ulioni shati unalolitafuta chumbani kwako ujue litakuwa ndilo ulilolivaa!!! Sasa jamaa anaitafuta KIBERA wakati yeye mwenyewe anaishi kibera tena kila ukikutana na wakenya 10 Nairobi basi ujue 7 wanaishi bibera ndo maana yule mchina aliwaita wachafu sana
 
Ulitaka kumaanisha nn hapa uliposema kutembea km 30 ya Nbo Ni ndefu kiliko Dar? [emoji23] [emoji23] Ni lugha hujui ama ndio Grandiosity suffering...you must be very sick my fren, hasa kutokwenda kibera ambayo ni km chache tu kutoka CBD ndio kuna fanya kibera isiwepo ama nn,daah jaman I've never seen this kind of a panic attack
Tatizo jamaa ajui hapo anapoishi sikuzote ndiyo kibera yenyewe hivyo anaenda kuitafuta kwingine ndo maana anasema ajui ilipo
 
Duh!! Hili siyo povu! Hapa umetapika JIK kiboko ya madoa

30Kms za Nai ni ndefu kuliku za Dar [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Teh te te te!!?? Hapo nisawasawa hapo ni sawasawa na kusema kilo moja ya pamba ni nzito kuliko kilo moja ya mawe
 
alikuja na screenshot lakini bado ilishindwa kuonyesha alikopata 2,504km sq za ziada za nairobi metro.[emoji23]

Ahaaa haaa haaa
Hawajui dimensions hao, maana square kilometre moja ni KUBWA saana.
 
Back
Top Bottom