Panic ya Rais Samia inasabaishwa na nini?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Rais Samia ameonesha panic ya hali ya juu hivi karibuni. Je ni sababu zipi hasa zimeleta hii hali

1. Je ni ushindani ndani ya chama
2. Je ni mikutano ya wapinzani ambayo imeweka wazi mikataba ya siri hasa kwa nchi za kiarabu.
3. Je ni hali ya ruhswa kuzidi nchini
4. Je ni matatizo ya pesa kwa serikali
5. Je ni mikutano ya vijana Kenya na Uganda

Au ni hayo yote!
 
Haja panick, ni careful planned move
 
Inawezekana kuna mpango walifanya wale jamaa wawili ambao ulikuwa unaelekea kuharibu interest za Samia.

Nikikumbuka wakati ule Samia anawapunguza watendaji wa JPM na kuwapa nafasi kina Makamba, ni wazi alikuwa anajitengenezea ngome yake, azungukwe na anaowaamini ili ajiskie salama.

Sasa kwa hii move ya kuwaondoa watendaji wake ambao aliwaamini zaidi, ni wazi kuna sehemu kina Nape waligusa ambapo hawakutakiwa kufanya hivyo.
 
Alipotolewa JANUARY MAKAMBA na Team yake ya wapigaji wenye akili ndogo na ujuaji wa kwenda New York , London na Masaki unasema rais kapanik. V alipotolewa Kabudi na Lukuvi?
 
Sababu kajua kuwa yeye ni mjalaana
 
Number 2 inahusika zaidi.
 
Uislamu umemzuia mwanamke kuwa juu ya mwanaume. nadhani waislamu wenzake kuna kitu wamemsomea. If it were me, I would have relinquished power and not contest the second term!
 
Amefanya jambo gn mpaka unasema ame-panic?
 
Yaani hii nchi ukiteuliwa ukawa boss and ofisini kuwa mpole tu
Maana hata ukifanya kazi nzuri unaweza kuondolewa
 
Inawezekana
 
Bac tu ni kwakua vijana wa nchi hii hatuna confidence ya kupambania nchi hii acha iende hivi Hivi
 
Hamkani si shwari tena huko.
 
Upwirufobia
 

ALL OF THE ABOVE
 
Simple. Viatu VINAPWAYA!
Hata atandaze mikeka milioni!
Hawezi wasimamia hao wateule. RIP MAGU...
 
Anayajua mwenyewe na washirika wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…