Panic ya Rais Samia inasabaishwa na nini?

Nyamaza
 
Uongozi Mtamu ,yote analinda asitolewe madarakani.
 
Wacha iendelee kunyesha tuone panapovuja !
Bado wengine !
Haiwezekani walikuwa ni wao pekee kwenye huo mpango !
Huenda na mwenye Tai ya bendera yumo 😳!
 
Afu Kati ya Marais ambao huwa hawapanic huyu mama yumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…