Yoranda JF-Expert Member Joined Jan 9, 2020 Posts 341 Reaction score 339 May 17, 2020 #1 Hawa watoto wamejaa mh mkuu wa mkoa weka vijana wako. Wanakata,wanapiga mapanga, wanapora, wanavunja, wanatwaa flat screen, Simu, yaan hawana huruma na korona hii wao kata funua. Jamani msaada wa patrol Error. Please correct Panya road
Hawa watoto wamejaa mh mkuu wa mkoa weka vijana wako. Wanakata,wanapiga mapanga, wanapora, wanavunja, wanatwaa flat screen, Simu, yaan hawana huruma na korona hii wao kata funua. Jamani msaada wa patrol Error. Please correct Panya road
1gb JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 2,393 Reaction score 3,295 May 17, 2020 #2 Umesha ripoti katika kituo kilicho karibu nawe? Viongozi wako wa mtaa wanasemaj?
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,727 Reaction score 55,401 May 17, 2020 #3 Wachape mboko
Yoranda JF-Expert Member Joined Jan 9, 2020 Posts 341 Reaction score 339 May 17, 2020 Thread starter #4 Mtoto halali na hela said: Wachape mboko Click to expand... Usiombee wakukute
Bia yetu JF-Expert Member Joined Apr 14, 2020 Posts 6,921 Reaction score 8,321 May 17, 2020 #5 Hao wahuni washughulikiwe
Trimmer JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 2,796 Reaction score 4,901 May 17, 2020 #6 hivyo vitoto dawa yao ni kukamata kamoja mnakawamba msalabani,,
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,727 Reaction score 55,401 May 17, 2020 #7 sirikirusi said: Usiombee wakukute Click to expand... Huku mikoani hawathubutu kufika
JFK wabongo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2015 Posts 3,887 Reaction score 3,201 May 17, 2020 #8 Panya road Kinyerezi?