Panya road bado wapo

Checnoris

Senior Member
Joined
Aug 21, 2022
Posts
123
Reaction score
269
Tuzingatie ushauri na viongozi wa serikali za mitaa amkeni
 
Makonda aliwezaje kuwafuta kwenye mitaa na Sasa hawamuogopi mtu
 
Sijui kwa Nini Hawa panya road wanawavamia wengine tu. Natamani zali la kuvamiwa na Hawa panya road linitokee. Yani huo mkono ntakavyoutembeza.
 
Tumieni magroup ya WhatsApp mtaani kwenu mjulishane matukio ya dharula. Viongozi wa serikali za mtaa wawemo ikiwa ni panoja na OCD wa Kanda husika, Mkuu wa kituo pia awemo
 
Sijui kwa Nini Hawa panya road wanawavamia wengine tu. Natamani zali la kuvamiwa na Hawa panya road linitokee. Yani huo mkono ntakavyoutembeza.
Mkuu usiombee wakukute. Wao hawana Cha kupoteza. Wakipiga panga wanapiga, na wanavamia Kwa Pamoja
 
Sijui kwa Nini Hawa panya road wanawavamia wengine tu. Natamani zali la kuvamiwa na Hawa panya road linitokee. Yani huo mkono ntakavyoutembeza.
Mkuu usiombe huko kinyerezi wamefanya watu sio poa!!!Mpaka sugusug wamekimbia yaani machalii ni majambazi kabisa wanakukata usipokimbia unakufa ....wamama wa watu wamekatwa waliokuwa wanwapigia kelele za mwizi
 
Tuzingatie ushauri na viongozi wa serikali za mitaa amkeni
Tofautisha panya road na vibaka
Panya road ni organized gang wanaofanya matukio kwa timing vibaka ni wahuni fulani wanaovizia usiku wa manane na kupora
 
Mkuu usiombe huko kinyerezi wamefanya watu sio poa!!!Mpaka sugusug wamekimbia yaani machalii ni majambazi kabisa wanakukata usipokimbia unakufa ....wamama wa watu wamekatwa waliokuwa wanwapigia kelele za mwizi
Kwanini wasinivamie Mimi? Huko kinyerezi Kila siku usiku nazurula tu maksud tunapishana nao hawanisogelei wakishanipita nyuma yangu naskia yowee wamemvamia mwengine nasema fak. Yani siku ile watakopothubutu tu Ndo mwisho wa Panya road itakuwa historia.
 
Siku zako za kufa bado endelee tu kuzurula huko usiku!!
 
Watu hamjui wenzenu wanaacha na vilema vya kudumu.

Kama MTU anakipiga panga la kichwa, bega, unatarajia nini.

Tena Sasa ikitokea umemuua mwenzao Tayari noma nyingine watakuwinda vby Sana. Watakuja tu.

Ikitokea wakagundua inatembea na mguu wa kuku. Bora kwako maana wakipona watakuwa wanakukimbia.

Yaani watajua huyu roho mby hafai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…