Panya Road ni mtandao unaolelewa na Jeshi letu la Polisi

Panya Road ni mtandao unaolelewa na Jeshi letu la Polisi

Kwani unaposikia wamefanya tukio Bunju, unafikiri hao panya Road wanaishi Bunju ama kawe!?
Elewa asilimia kubwa bunju ni wenye vipato vya kati na chini kushuka chini .na wengi familia zilizotoka ushenzeni kujenga huko.
Na ukaribisha makundi yao wanapotokea wakiaribu.mfano leo mbagara wakiona wanafatiliwa wanakaribishwa na marafiki zao na maeneo hayo kuna vijana wenzao walishawai kukaa mbagara
Unao wazungumzia ndiko ni meishi hizo sehemu.
 
Polisi hao hao wakianza kuwatungua mnalalamika panya wanaonewa na kusingiziwa
Napenda kuchukua nafasi kulipongeza jeahi la polisi hakika sasa hv wameisha wote wengi wametunguliwa maeneo mbalimbali hasahasa vingunguti
 
Back
Top Bottom