Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
hakuna aliyekamatwa ambaye hana rekodi chafu katika vituo mbalimbali vya polisi,rekodi za mhalifu na matukio Yake ndicho kigezo cha kwanza,pili kamati ya ulinzi ya mtaa ikikupendekeza haiwezi kukosea Kwa sababu inafahamu watu Wote wa mtaa husika na nyendo zao,polisi wao huchangia 10% lakini security na information kubwa Kwa 90% mtaani kwako ndio wanaowafahamu wahalifu.98% ya waliokamatwa sio Panya road
#UALIFU SASA BASI UKOME.