Panya wa sua!!

Panya wa sua!!

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Posts
4,768
Reaction score
2,361
Wale panya waliokuwa wakisomea digrii ya kunusa mabomu pale SUA Morogoro,wamelala mbele waliposikia kibarua cha Mbagala!
Mhadhiri wao, Panya Buku vilevile alionekana akiishia maeneo ya mbuga ya Selous, akirudi Tunduru.
Wasi wasi wa wahadhiri wenziwe ni kuwa asijegeuzwa kitoweo cha "samaki nchanga" has wakati huu wa njaa kali nchini!!
 
Umenivunjia mbavu zangu. Lakini kwa kuwa nawe umesoma hapo SUA inawezekana unayoyasema yakawa kweli. Hahahahaha!
 
Back
Top Bottom